Kuna wanaume hawapendi complications wakati wa kutongoza na wakati wa mahusiano, wanaamini mwanamke mwenye sura na shepu mbaya ni rahisi kumpata..yani mtu anaona mademu wenye sura mbaya ndo class yake..
Utakuta bro wa mtoa mada hajalogwa, kaona mademu wazuri sio class yake, hataki stress kwenye mahusiano
Nyamwage Joanah