Mke katoka kwa Bwana atakuwaje na bikira? 😂😂😂Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake?
Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu?
Ebu tuweni na akili kidogo tu kama kweli mke mwema anatoka kwa Bwana basi ni lazima atakuwa amejitunza na yuko full virginity tofauti na hapo acheni kujipa matumaini hewa yasiyo kuwepo duniani wala mbinguni.
HahahaMke katoka kwa Bwana atakuwaje na bikira? 😂😂😂
HahahaMke katoka kwa Bwana atakuwaje na bikira? 😂😂😂
Japo ni mambo ya shuleni utoto lakini inauma mzee yaan kuoa mashine ilishatafunwa tuna moyo sanaSawa. Kwahiyo wahuni walikuwa washapita na bikira yake?
Hapo lazima huyo bwana wake awe mbovu😄Mke katoka kwa Bwana atakuwaje na bikira? 😂😂😂
Kabla hujakutana naye alikuwa na bwana, huyo ndiye alimtoa bikira. Hata hivyo bikira huwa zinatoka kwa sababu mbalimbali.Kama tunaamini kabisa kuwa mke mwema anatoka kwa Bwana iweje huyo aliyetoka kwa Bwana asiwe na bikira yake?
Ni nani huyo aliyeitoa bikira yake? Hapa utamkuta mlokole na mshika dini anakuambia Mke mwema anatoka kwa Mungu na huyo mke wake hana bikira inawezekana vipi ndg zangu?
Ebu tuweni na akili kidogo tu kama kweli mke mwema anatoka kwa Bwana basi ni lazima atakuwa amejitunza na yuko full virginity tofauti na hapo acheni kujipa matumaini hewa yasiyo kuwepo duniani wala mbinguni.
daahBasi andika
Hizi ulizotaja ni sifa za mwanamke bikra, Huwez kuwa mwanamke malaya afu ukawa na hizo sifa.Hakuna uhusiano kati mke mwema na Bikra. Mke mwema ni yule mwenye upendo, uvumilivu, mtulivu, msafi, mnyenyekevu, sio mzinzi, mtu atayekuwa na wewe bega kwa bega kwenye shida na raha, anayependa ndugu zako,anayekulea wewe na watoto, anayewezesha kukuwakilisha na kusimamia mambo yako ukiwa haupo.
Kwa dunia ya sasa kumpata mke mwenye bikra ni nadra sana.Hawa ambao hawana bikra tunajipendekeza tu hata kutoa mahali walitakiwa tupewe buree kabisa
Bikra inaweza tolewa hata na baiskeli bwasheeMoja ya dalili ya mke mwema, ni kujitunza, usafi wa mwili ambao hudhihitishwa kwa bikira.
Hata hivyo wapo wachache sana. Ambao bikira zao zilitolewa na mashetani kwa ulaghai.
Sikuhizi mabinti wanaoendesha baiskeli ni 1 ya 10,Bikra inaweza tolewa hata na baiskeli bwashee
Bikra inaweza tolewa hata na baiskeli bwashee
Kuna namna haujaijua bikra bwasheeKwa Sisi tuliokutana na Bikra tutakukatalia kabisa.
Bikira haiwezi tolewa na baiskeli. Lazima kitu kigumu kipite ndipo bikra itoke.
Na kwa kukusaidia tuu. Kama huna nguvu za kutosha au tuseme mwanaune goigoi. Mjegeje hauna nguvu, bikira unaweza usiitoe. Ukaishia kunawa tuu.