Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Labda huko 1940 sio huku 2024 ukileta kujiona ona kinasakwa chuma kingine fasta kinapewa Siti na walivyo wengi sasa Soko linazidi kua gumu ringa uzeekee kwenu
 
Back
Top Bottom