Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.
Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:
1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa
siyo wife material.
2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano,
huyu ndiye wife material.