Mke mwenye miaka 15 aumizwa vibaya na mume kisa kumwaga dawa ya mbuzi

Sheria za Tanzania, ukioa mwenye miaka 15 na hasomi, hapo sawa. Ila ukifanya mapenzi na mwanafunzi wa kike mwenye miaka 15 unafungwa miaka 30 kwa ubakaji mtoto [emoji23]
 
Safari moja uanzisha nyingine,wavunje ndoa uyo binti arudishwe shule.ila watoto wa hivyo walioolewa wapo wengi huko vijijini.
 
Hata Mimi ningeweza kukapiga ka mwali Cha umri huo ila sio kumjeruhi hivo labda banzi au Kofi
 
Ukute hata kusoma hajui angejua vipi kama ni dawa ya mifugo? Wamasai ni wakati sana sana na wengi hawajui kusoma wamefunga na mila na tamaduni zao hivyo ni ngumu watu kujua ukatili unaoendelea huko
 
Wamasai ni wanyama kabisa sasa hako ni mke ama katoto, aisee balaa sana hawa wafugaji
 
Maskini daah hapo hata akirudishwa kwao wazazi wake watamkataa kisa walishapokea mahari. Kuna mabinti wanapitia wakati mgumu sana. Elimu muhimu. Ndoa za utotoni ni mateso makubwa
 
Sheria za Tanzania, ukioa mwenye miaka 15 na hasomi, hapo sawa. Ila ukifanya mapenzi na mwanafunzi wa kike mwenye miaka 15 unafungwa miaka 30 kwa ubakaji mtoto [emoji23]
... hiyo tafsiri yako. Sheria iko hivi; kumwingilia kimwili mwenye umri chini ya miaka 18; au kumwingilia kimwili mwanafunzi (hadi sekondari); au kumwingilia kimwili mwanamke bila ridhaa yake hayo yanaangukia katika kosa la ubakaji.

Makundi matatu yametajwa hapo (a) chini ya miaka 18 (b) mwanafunzi (c) mwanamke bila ridhaa.

Utaona neno "ridhaa" halijatumika kundi (a) na (b); hakuna kisingizio kwamba "alikubali mwenyewe" kwa sababu makundi hayo yanahesabiwa hayana ridhaa mbele ya sheria. Kundi (c) linawahusu wale wenye 18+. Katika mazingira ambayo mahakama itathibitisha ulifanya mapenzi na mwanamke bila yeye kuridhia mf. umemnywesha kilevi kisha ukamwingilia inaangukia katika ubakaji.

Kwa case ya thread hii, ikithibitishwa "mume" wa huyo "mke" aliwahi kumwingilia na kwa kuwa "mke" ana under 18 (i.e. 14/15), then, automatically, mbele ya sheria, amekuwa akimbaka. Hivyo 30 yrs in prison inamhusu.
 
Sina ufahamu wa sheria kama wewe. Swali langu ni kwanini wahanga wengi ni wale walio tembea na wanafunzi chini ya miaka 18 na si waliooa chini ya miaka 18?

Wewe binafsi nna uhakika umeona ndoa hizo nyingi tu na zipo wazi. Inamaana jamaa alitongoza na akakubaliwa na akaamua kufunga nae ndoa. Pia kwa wanafunzi ni hivyo hivyo, alitongoza akakubaliwa wa kafanya yao.
JE unamaamisha kama mwanafunzi alimkubali "kwa ridhaa yake" jamaa amtafune, jela haita muhusu??
Huwenda nikapata kufahamu mengi kupitia wewe
 
Hao majamaa hawachomoki hapo, japo mmoja jina lake halifahamiki licha ya kuingizwa kwenye detention book.Mtoto wa miaka 15,unamfanyaje awe mama?

Ukute hata hakujua kama ni dawa ya mbuzi,maana ni mtoto huyo.

Miaka 15 hata ladha hamna, ukiangalia hata umbo la mvuto, hana.

Sheria ichukue mkondo wake, na jina la huyo ambaye halijafahamika, japo kazuiliwa polisi,liwekwe bayana,nguvu ya ya haki za watoto, watu wa ukatili wa kijinsia, na akina mama,uone watakavyodili nae.

Tena nimeona kwenye group la WhatsApp, mbunge ndiye kaipost, lazima wale mvua.
Wana kesi mbili ,hao washinda na shuka tatu ila matako yako wazo ndo akili zao hapo Tamaa ya ng'ombe tu!! Hako katoto hakana hata utamu unakuta ni Libaba lizima linamtembezea ukuni
 
Yaani miaka 15 kweli unamfanya mke. na bado unamtesa kiwango hiko.😥😥😥
 
Jamii za wafugaji wasukuma, wamasai, wakurya wana matukio ya ovyo sana
Mtu anashinda na awasemeshe ng'ombe unafikria akili zake ni timamu ,hao kushinda na Wanyama na akili zao zimeruka wanakuwa na roho mbaya na ushamba
 
Sina ufahamu wa sheria kama wewe. Swali langu ni kwanini wahanga wengi ni wale walio tembea na wanafunzi chini ya miaka 18 na si waliooa chini ya miaka 18?
Wewe binafsi nna uhakika umeona ndoa hizo nyingi tu na zipo wazi. Inamaana jamaa alitongoza na akakubaliwa na akaamua kufunga nae ndoa. Pia kwa wanafunzi ni hivyo hivyo, alitongoza akakubaliwa wa kafanya yao.
JE unamaamisha kama mwanafunzi alimkubali "kwa ridhaa yake" jamaa amtafune, jela haita muhusu??
Huwenda nikapata kufahamu mengi kupitia wewe
Nijuavyo mara nyingi jamii hizi za kifugaji swala la mtoto wa kike kiolewa ni amri ya mzazi hata kama hutaki utaolewa.
 
Back
Top Bottom