Mke na Mama ndio wenye Mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume

Mke na Mama ndio wenye Mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Tunakumbushana tuu!

MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara.

Kama ni kuuziana muuziane,
Kama ni kununua mnunue iwe Kwa masaa Kwa siku au wiki.

Wanawake msikubali kukaa kwenye mahusiano yasiyo na uelekeo, wekeni vikwazo, Kama mtu Hana Nia ya kukuoa atajionyesha mapema.

Wanawake ndio mnatuendekeza wanaume mpaka sasa hivi hamna la maana, laiti mngekuwa na umoja ni wazi kila mmoja wenu angeolewa na kuheshimika, lakini hamna umoja kwani Wale wenye maadili wakikaza wanawake wahuni wanatoa uroda bure😀😀 Hali inayofanya jitihada za wenye maadili kuonekana ni sifuri.

Muhimu, mwanamke usikubali kuwa kwenye uhusiano usio na uelekeo.

Wanaume nasi tusikubali kutoa pesa bila kupewa Huduma.
Nipe nikupe, Masuala ya kuhudumia mtu Kama Mke au Mama mzazi ni ushamba

Jioni njema
 
Unazungumzia mwanaume wa kinondoni au hata mimi rijali?
 
Aisee!!!
Kwa hiyo single mom jirani huwezi kumsaidia kama amekwama bila kibiashara?
 
Aisee!!!
Kwa hiyo single mom jirani huwezi kumsaidia kama amekwama bila kibiashara?

Inategemea,
Mazoea ya kijinga huwa siyaendekezi,

Zingatia, wanaume wengi ni ngumu kutoa huo unaouita msaada bila kuhitaji ngono.

Ukihitaji msaada nenda Kwa Ndugu yako, aliyekuzalisha, Baba au mama Yako, au kwenye taasisi ya Kidini unayosalia.

Sio utake msaada Kwa watu msiohusiana Kwa lolote hiyo ni Dalili ya upumbavu
 
Kwa nini awe mama asiwe baba au wewe ni mtoto wa mama[emoji2]
 
Back
Top Bottom