Mke na mume wakutwa wamefariki chumbani kwao Bunyokwa, Polisi yasema inachunguza tukio hilo

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limesema linachunguza mauaji ya Mume na Mke ambao ni Anthony Hillary Ngaboli(46) na Anna ambao wamekutwa wakiwa wamefariki chumbani kwao katika nyumba yao iliyopo Mtaa wa Bonyokwa Kata ya Bonyokwa, wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.

Kamanda wa kanda hiyo SACP Muliro Jumanne Muliro akizungumza leo juni 12, 2025 amesema marehemu wamekutwa wakiwa wamejeruhiwa.

Kuna mawili wamewekewa sumu,
Au wamekula kitu kinachodhuru
 
Mungu aziweke roho zao mahali pema. Na pole kwa wafiwa wote.
 
CYO WANACHADEMA? ISIJE IKAWA WASIOJULIKANA UVCCM NA POLICCM WAMEFANYA YAO
 
Ktk pita pita zangu nimekutana na taarifa za mauwaji huko Tabata bonyokwa..
Ila ktk kuchunguza nimepata hii Taarifa nikasema inaweza kuwa na kitendawili tega.
Wauwaji walivunja dirisha nakuingia ndani nakuwasubiri walengwa wao...
Wakwanza kuingia alikuwa mwanamke inaonyesha alivyo ingia tu wakapambana naye kimya kimya ila wakamalizana naye mume akawa nje ana time delay kuingia ndani akakutana na wauwaji inaonyesha wakamzibiti wakamalizana naye ila wakaondoka na silaha tu wakaacha risasi.
Kong'oliko mlango wa chuma ukiufunguwa hauna huruma... 🙊
 
Sasa kweli kwenye harakati za kuvunjq mlango, kuingia na kufanya mauji, binti wa kazi hakusikia chochote kweli?,
 
Mtajiri hawaishi na mabinti wa kazi. Binti wa kazi anakuwa ni mwajiriwa, anakuja asubuhi saa 12 anondoka, na NSSF anawekewa.
 
Dahhhh....
R.i.P Pemela wa Goba mshangazi nginjanginja...😥
 
Ktk pita pita zangu nimekutana na taarifa za mauwaji huko Tabata bonyokwa..
Ila ktk kuchunguza nimepata hii Taarifa nikasema inaweza kuwa na kitendawili tega.
Wauwaji walivunja dirisha nakuingia ndani nakuwasubiri walengwa wao...
Wakwanza kuingia alikuwa mwanamke inaonyesha alivyo ingia tu wakapambana naye kimya kimya ila wakamalizana naye mume akawa nje ana time delay kuingia ndani akakutana na wauwaji inaonyesha wakamzibiti wakamalizana naye ila wakaondoka na silaha tu wakaacha risasi.
Kong'oliko mlango wa chuma ukiufunguwa hauna huruma... 🙊
chanzo cha kuuwawa ni nini, na walikua wanafanya biashara gani?
 
Back
Top Bottom