Itakuwa kwenye biashara zao, mauwaji ambayo hayahusishi uhalifu wa kuiba chochote ni mambo ya visasi hasa pesa au mali.Sababu za mauaji ni nini sasa?
Watakuwa Uvccm haoKtk pita pita zangu nimekutana na taarifa za mauwaji huko Tabata bonyokwa..
Ila ktk kuchunguza nimepata hii Taarifa nikasema inaweza kuwa na kitendawili tega.
Wauwaji walivunja dirisha nakuingia ndani nakuwasubiri walengwa wao...
Wakwanza kuingia alikuwa mwanamke inaonyesha alivyo ingia tu wakapambana naye kimya kimya ila wakamalizana naye mume akawa nje ana time delay kuingia ndani akakutana na wauwaji inaonyesha wakamzibiti wakamalizana naye ila wakaondoka na silaha tu wakaacha risasi.
Kong'oliko mlango wa chuma ukiufunguwa hauna huruma... 🙊
Inasikitisha, pole zao kwakweliItakuwa kwenye biashara zao, mauwaji ambayo hayahusishi uhalifu wa kuiba chochote ni mambo ya visasi hasa pesa au mali.
Kwa maelezo ya hawali binti alikuwepo ndani nyumba na asubuh aliona mtoto wa bos anagonga mlango kuomba hela ya nauli ya tuition. Labda hujapata dodoso vizur mkuuMtajiri hawaishi na mabinti wa kazi. Binti wa kazi anakuwa ni mwajiriwa, anakuja asubuhi saa 12 anondoka, na NSSF anawekewa.