Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

Wakionekana ndio kesi itaamuliwa haraka ,

Acha uzandiki na ufilisishaji wa akili zako .

Kama mnaamua kesi amueni.
Tatizo la Watanzania ni kwamba ukimuuliza swali naye anauliza swali, badala ya kujibu
 
Hii mada imeandikwa kwenye tishu mbichi lazima wasio penda wataichana! 😂 Tafadhari watu wapigweee lkn wasipigwe kwenye vidonda!
 
View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Hata ningekua mimi, nisinge mruhusu wa nione mazingira kama hayo. After all wao sio washtakiwa
 
Back
Top Bottom