Wewe pimbi huna lolote, Tundu ni Mtanzania, Mnyaturu wa Singida, ana kaka na dada zake wa damu hapa nchini, wajomba, mashangazi, baba wadogo, baba wakubwa, mama wakubwa, mama wadogo, mabinamu zake achilia mbali majirani wa toka utotoni na wana Singida kwa ujumla. Ni nini kitamfanya Lisu alete machafuko nchi hii ambapo ndipo walipo ndugu zake pia?! Ni nani hamfahamu Lisu nchi hii? Mtu ambaye hajawahi kudhuru hata sisimizi toka utotoni mwake leo alete machafuko kiaje? Kutokuwepo watoto wake hapa Tz ndo asahau hao wote niliowataja hapo juu?
Hao watoto wa vigogo wa CCM wanaopigana vikumbo kwenye ubunge iwe vitu maalum au Jimbo wengine hawakukulia hapa nchini katika harakati zao kusoma. Kwanini hamuwasemi?! Kwanini iwe nongwa kwa Lissu?😡😡😡😡😡