Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

Haya maandishi yawekwe kwenye lamination. Watu wajinga sana wanamuona Lissu eti mkombozi wao
Wewe ni ruhusu nikuite mjinga. Hivi unajua maana ya kujitoa kwa ajili ya wengine? Wenye akili wote wana ona ni sahihi kwa familia ya Lissu kutokufika mahakamani kwani kwa kawaida hawapaswi kushuhudia mateso anayoyapata baba yao kwa ajili ya wajinga kama wewe na hawatambui anapigania nini kwani watatoa MACHOZI mbele ya baba yao naye ushujaa utamuishia. Family is family, hakuna mwanaume mbabe mbele ya familia yake itoayo machozi.
Harakati za Chadema na Lissu hazipaswi kuunganishwa na familia yake, ni tofauti na yanayoendelea CCM ambako baba/mama akiwa kiongozi tena mwizi anaalika watoto, wakwe na ndugu wajiunge pamoja kuiba. Majizi makubwa kabisa! Na laana kubwa.
 
Je umewahi kumuona hata yule mzee wa ToneTone Godbless Lema?
Khaa! Hivi inakuwa ni kutokana na kukosa cha kufanya au..... - Unafuatilia mambo ya watu wengine halafu bado sasa hutosheki unatafuta watu (mashabiki)wa kukuunga mkono kwenye kazi hiyo batili? Ingekuwa ni heri ukaenda kuweka zuio, pingamizi au ..... ukaendelea na kazi uliyojipa mwenyewe ya kuchukua mahudhurio "Roll call" hapo mahakamani. Povu ni ruksa
 
View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Harafu mbumbumbu ndio wanampigania 😁😁😁😁
 
View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
wewe ni Bibi mdogo, Kama vipi mwakilishe mke wake mkubwa
 
Wake na watoto wa watu we wanakuhusu nini? Wako wameshiba hapo ulipo au unaunga hapa na pale tu? Ndo maana wanasema IQ zetu hazijai kisoda na member mmoja hapa anatuita maSimp
Simp ni wewe shauri yako
 
Amekuwa mbunge kwa miaka 10, umewahi kuwaona mke na watoto wake ndani ya bunge? Au unataka waje wazuiliwe kutoka kwenye hii shit hole country?
Unaishi shit hole country?
 
Wewe ni ruhusu nikuite mjinga. Hivi unajua maana ya kujitoa kwa ajili ya wengine? Wenye akili wote wana ona ni sahihi kwa familia ya Lissu kutokufika mahakamani kwani kwa kawaida hawapaswi kushuhudia mateso anayoyapata baba yao kwa ajili ya wajinga kama wewe na hawatambui anapigania nini kwani watatoa MACHOZI mbele ya baba yao naye ushujaa utamuishia. Family is family, hakuna mwanaume mbabe mbele ya familia yake itoayo machozi.
Harakati za Chadema na Lissu hazipaswi kuunganishwa na familia yake, ni tofauti na yanayoendelea CCM ambako baba/mama akiwa kiongozi tena mwizi anaalika watoto, wakwe na ndugu wajiunge pamoja kuiba. Majizi makubwa kabisa! Na laana kubwa.
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini anapigania masilahi yako?
 
Khaa! Hivi inakuwa ni kutokana na kukosa cha kufanya au..... - Unafuatilia mambo ya watu wengine halafu bado sasa hutosheki unatafuta watu (mashabiki)wa kukuunga mkono kwenye kazi hiyo batili? Ingekuwa ni heri ukaenda kuweka zuio, pingamizi au ..... ukaendelea na kazi uliyojipa mwenyewe ya kuchukua mahudhurio "Roll call" hapo mahakamani. Povu ni ruksa
Hata wewe unafuatilia watu, maana umejibu post yangu
 
Ipo siku tutapambana hadharani ndo utajua hujui mmi hiyo siku ikifika watu kama ninyi wa ccm nakufumua kifua natoa moyo wako na mkono nautafuna ukiwa mbichi kabisa...
Si ufanye hata kesho, kwanini unasema iko siku??
 
Back
Top Bottom