Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

Mke na watoto wa Tundu Lissu hawajawahi kuonekana Mahakamani, je hii inaashiria nini?

View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Inaashiria wachawi wamejaa koo,hataki kusumbuliwa familia yake.
 
Una ujinga mwingi sana kichwani kwako.

Aliyoyapitia Tundu Lissu nchi hii wewe huwezi hata robo. Na kwa unyonge ukaamua kuwa chawa.

Family ya Lissu haiwezi kubadili maamuzi ya kipumbavu ya kubambika kesi wapinzani. Unachekelea wakati Family za viongozi wenu wanafanya kufuru kwenye kila kitu nchi hii. Wewe endelea kuwa chawa ndiyo stahili yako.
Odhiambo wewe siyo raia wa Tanzania. Nenda Kenya kwa ndugu zako
 
Kama vipi uteuliwe wewe ili uwe mke wake kwa muda. Si utahudhuria mara zote, au na wewe hutaonekana kaa ilivyo kwa mke wake halisi?
Wewe ndiyo itakupendeza na mwandiko wako wa italics
 
Tuseme kweli tu au tunyuti.

Kawaficha Marekan ili yeye aje kukinukisha !!

lengo kupitia njia fupi au Counter Attack kuipata Ikulu kwakutegemea watoto wa mafukara sio poaaa

Baada ya kufanikiwa kuwa Rais LISU watoto wake watakuja kuwa kina Abdul wapya. ¿¿

Nawatoto wa Mafukara watabaki na vilio kupoteza wapendwa wao kuuguza majerahaa.

Elimika Kama wewe ni Kijana na unadhani. LISU atasamini msaada wako kajifunze kwa Mzee mbowe !!

Mzee mbowe ndio alitafuta ndege halaka Baada ya Lisu kujeruhiwa vibaya na risasi ile ndege ilipita njia mbaya isiotakiwa kupita ndege ndogo kiasi kile Sababu ya upepo mkali kwenye mkondo wa Singida!!

lkn Mzee mbowe kwakusamini maisha ya LISU na nayeye akapanda ile ndege ya kufa kupona siku ngumu maishani nakumshikia chupa ya Damu LISU ndugu yake Dodoma to Nairobi !!

Ukiona pumbavu anaoji eti mbona mbowe atumuoni Mahakamani. Mbowe alishamaliza kujitolea kwa Lisu !!!

sasa zamu yenu !!

mbowe kashahatarisha maisha yake ktk kupambania maisha ya Lisu na kaishia pale alipo sasaivi pamoja na kudhalilishwa kupitia MEDIA!!

wewe fukara unategenea nini kwa LISU. ????????
Haya maandishi yawekwe kwenye lamination. Watu wajinga sana wanamuona Lissu eti mkombozi wao
 
Huyu maku sana yaani, mke na watoto wa lissu wako uhamishoni ubelgiji wewe nyau...mnamtaka mke wake ili nini!?
 
wawakilishe wivu wa nn kiasi hicho na ulipo hapo ni mwanaume kweli
 
Acha wivu hata Mariam hakuambatana na mwanae Yesu kasome maandiko

Luka 8:21
[21]Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ndio hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya.

No reform No Election
Yaani hukumuona Mariam pale msalabani Golgotha akilia (Luka 2:25-35)?
 
Lissu yupo anampigania Mke wako na Watoto wako.Ameamua kukaa mbali na mke wake na watoto wake kwa sababu ameamua kujitoa kwa ajili yako.

Unaweza Usitambue uzito wa jambo analofanya na umuhimu wake kwako ila siku likikupata la kukupata basi Utaelewa
Labda amejitoa lwa ajili yako wewe ila siyo mimi
 
1111111111111111111111111111111111111111111111111111..1.jpg
 
Wewe ndiyo itakupendeza na mwandiko wako wa italics
Wewe ndiyo unaye hangaika na kukosekana mahakamani kwa mke wa Lissu na watoto wake. Nimekushauri utumie hiyo nafasi ili kuondoa haya malalamiko yako.
 
View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
NO REFORM NO ELECTION
 
Wake na watoto wa watu we wanakuhusu nini? Wako wameshiba hapo ulipo au unaunga hapa na pale tu? Ndo maana wanasema IQ zetu hazijai kisoda na member mmoja hapa anatuita maSimp
 
Hili mbona lilishajibiwavna Rais Kikwete? Hoja ya Lissu ni NO REFORMS NO ERECTIONS na hoja ya Kikwete ni AKILI YA KUAMBIWA? NA WEWE TIA YAKO. Wajinga ndio waliwao
 
View attachment 3426615

Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.

Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Amekuwa mbunge kwa miaka 10, umewahi kuwaona mke na watoto wake ndani ya bunge? Au unataka waje wazuiliwe kutoka kwenye hii shit hole country?
 
Back
Top Bottom