Una ujinga mwingi sana kichwani kwako.View attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
What a beautiful reply ❤️Chadema haiongozwi na familia
Kama vipi uteuliwe wewe ili uwe mke wake kwa muda. Si utahudhuria mara zote, au na wewe hutaonekana kaa ilivyo kwa mke wake halisi?View attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Mbona sa100 mume wake haonekani na mke we kutwa kucha na mzee wa msogaView attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Wapo ukimbizini ulaya, baada, ya, ccm, maghu kufanya jaribio la kumuua baba yao!View attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
View attachment 3426615

Tuseme kweli tu au tunyuti.
Kawaficha Marekan ili yeye aje kukinukisha !!
lengo kupitia njia fupi au Counter Attack kuipata Ikulu kwakutegemea watoto wa mafukara sio poaaa
Baada ya kufanikiwa kuwa Rais LISU watoto wake watakuja kuwa kina Abdul wapya. ¿¿
Nawatoto wa Mafukara watabaki na vilio kupoteza wapendwa wao kuuguza majerahaa.
Elimika Kama wewe ni Kijana na unadhani. LISU atasamini msaada wako kajifunze kwa Mzee mbowe !!
Mzee mbowe ndio alitafuta ndege halaka ndege ilipita njia mbaya isiotakiwa kupita ndege ndogo kiasi kile Sababu ya upepo mkali kwenye mkondo wa Singida!!
lkn Mzee mbowe kwakusamini maisha ya LISU na nayeye akapanda ile ndege ya kufa kupona siku ngumu maishani nakumshikia chupa ya Damu LISU ndugu yake Dodoma to Nairobi !!
Ukiona pumbavu anaoji eti mbona mbowe atumuoni Mahakamani. Mbowe alishamaliza kujitolea kwa Lisu !!!
sasa zamu yenu !!
mbowe kashahatarisha maisha yake ktk kupambania maisha ya Lisu na kaishia pale alipo sasaivi pamoja na kudhalilishwa kupitia MEDIA!!
wewe fukara unategenea nini kwa LISU. ????????
Shida yako moja tu kwa Lissu udini,UKOBAZI umekujaa toa ushamba wako huoTuseme kweli tu au tunyuti.
Kawaficha Marekan ili yeye aje kukinukisha !!
lengo kupitia njia fupi au Counter Attack kuipata Ikulu kwakutegemea watoto wa mafukara sio poaaa
Baada ya kufanikiwa kuwa Rais LISU watoto wake watakuja kuwa kina Abdul wapya. ¿¿
Nawatoto wa Mafukara watabaki na vilio kupoteza wapendwa wao kuuguza majerahaa.
Elimika Kama wewe ni Kijana na unadhani. LISU atasamini msaada wako kajifunze kwa Mzee mbowe !!
Mzee mbowe ndio alitafuta ndege halaka Baada ya Lisu kujeruhiwa vibaya na risasi ile ndege ilipita njia mbaya isiotakiwa kupita ndege ndogo kiasi kile Sababu ya upepo mkali kwenye mkondo wa Singida!!
lkn Mzee mbowe kwakusamini maisha ya LISU na nayeye akapanda ile ndege ya kufa kupona siku ngumu maishani nakumshikia chupa ya Damu LISU ndugu yake Dodoma to Nairobi !!
Ukiona pumbavu anaoji eti mbona mbowe atumuoni Mahakamani. Mbowe alishamaliza kujitolea kwa Lisu !!!
sasa zamu yenu !!
mbowe kashahatarisha maisha yake ktk kupambania maisha ya Lisu na kaishia pale alipo sasaivi pamoja na kudhalilishwa kupitia MEDIA!!
wewe fukara unategenea nini kwa LISU. ????????
Anayeshikiliwa siyo CHADEMA, ni TUNDU LISU.Chadema haiongozwi na familia
Acha wivu hata Mariam hakuambatana na mwanae Yesu kasome maandikoView attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Mke wangu na wanangu hawawezi kuacha mishe zao za kuwaingizia fedha kwa ajili ya kwenda kupoteza muda na kesi ya uhainiMbona mkeo na watoto wako hawajaonekana mahakamani. Au unafikiri ni familia ya Mh. Lissu tu ndio wanatakiwa wasimamie ukombozi wa nchi? NRNE