ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,290
Kama umeona unamudu kua bo mdogo,usimuachie mtu.Lissu atatoka atakukuta.U-bi mdogo nimekuachia wewe
Kama umeona unamudu kua bo mdogo,usimuachie mtu.Lissu atatoka atakukuta.U-bi mdogo nimekuachia wewe
Walivyokumvatiana ukachukia? You're dying of envying.Hizi ndoa zina mambo mengi Ndugu. Au hukuwahi kuona makumbatio ya TAL na lishangazi la kizungu kipindi kile alipokuwa anarejea toka kwenye the so called matibabu?
Labda wewe ndiyo huna. Lissu anapigania tumbo lake na la wanae. Halafu hakuna mtu anaweza kuwa DIKTETA mbaya kama Lissu. Angalia tu miezi 2 baada ya kumshinda Mbowe namna alivyosambaratisha CHADEMAMbona wewe unaonekana huna akili,we unadhani Lissu anapigania FAMILIA yake?
Lissu hana njaa ya tumbo na ya akili kama unavyowaza.Lissu ni mwanaharakati wa tokea miaka ya zamani,kama angekua na njaa ya tumbo kama unavyowaza we unadhani asingechukua pesa za Abdul?Labda wewe ndiyo huna. Lissu anapigania tumbo lake na la wanae. Halafu hakuna mtu anaweza kuwa DIKTETA mbaya kama Lissu. Angalia tu miezi 2 baada ya kumshinda Mbowe namna alivyosambaratisha CHADEMA
Nakazia mkuu. Hili jibu lako limenyooka sana. CHADEMA sio chama cha familia ovaChadema haiongozwi na familia
Umeandika kumuelekeza meeengii unajichosha tu.Msome kwenye komenti zake umuelewe alilenga nini na kwa nini anapewa majibu ya ukorofi kwa kiasi kikubwa.Mkuu swali lako ni la msingi!
Naamini wanatamani kuja kumuona baba yao, lakini kuna kitu cha msingi kinawazuia.
Unaweza kunikosoa ila kuna uwezekano Mke na wtoto wanaishi nje kwa status ya ukimbizi.
Moja ya masharti ya kimataifa ya mtu kuendelea kuishi kama mkimbizi na kupewa benefits za ukimbizi ni kutorejea katika nchi yako ya asili. Ukirejea tu unapoteza hadhi na benefits za ukimbizi, kwani ni kigezo kuwa nchi yako ina amani na hakuna hatari ya wewe kuishi katika nchi yako, hivyo unapoteza hadhi ya ukimizi automatically.
Ndio maana watu wengi waliojiripua na kupata hadhi ya ukimbizi wakitaka kutembelea Tz upitia nchi za jiarani hasa kenya na uganda then wanaingia nchini kwa njia za panya ili mifumo ya uhamiaji isimsome. Unarusiwa kutembelea nchi yoyote isipokuwa nchi yako.
Kwa kuwa wahusika ni watu maarufu hawawezi kuingia nchini kwa njia za panya kwani wataumbuka na kuharibu zaidi.
Naamini hiyo inaweza kuwa sababu inayowazuia kumtembelea Mume/Baba yao. (Ni mawazo yangu tu naweza nisiwe sahihi.)
Note: benefits za ukimbizi katika nchi za Ulaya magharibi ni pamoja na nyumba ya bure, posho kila mwezi (Euro 500-1500 kwa mtu mzima na kila mtoto Euro 400 ila inategemea nchi na nchi), Matibabu bure na masomo bure. Ni mtu jasiri na smart tu ndio anaweza akawa tayari kuzipoteza hizi benefits.
Mtoto wa kike aliyekuwa amehudhuria mahakamani ni kwako?View attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Nilimuona Lema na Boni yai siku ya case ya Lissu, ilikua mwezi wa tanoJe umewahi kumuona hata yule mzee wa ToneTone Godbless Lema?
Kwani ni uongo!Shida ya jamaa zetu iko kwa Mbowe tu,kwamba hafiki mahakamani
SASA mkuu si ungekaa kimya Tu ungeonekana Una Hekima .Je umewahi kumuona hata yule mzee wa ToneTone Godbless Lema?
View attachment 3426615
Ni siku zaidi ya 110 Tundu Lissu anashikiliwa na Mamlaka za Tanzania kwa mashtaka ya uhaini, lakini hatumuona wala mke wake wala mtoto akihangaika kumfuatilia mume/ baba yake.
Je, hii inaashiria nini?
-Wako busy na mambo yao?
- Wanaogopa kashkash za Polisi
-Au wameamua mwana kalifaindi mwana kalipata
Sawa Mariam Huihui mrembo wa TBRU-bi mdogo nimekuachia wewe
ccm hakuna dogo mtakuja kudhuru familia yake mapema wacha mwamba aingie mwenyewe mstari mbeleView attachment 3426615