Hakuna Amani kwa shetani dada yangu! shetani angekuwa na amani basi Libya pasingekuwa na vifo vya namana hiyo! uSIDANGANYWE NA MTU kama unaijua amani HAKUNA AMANI YA SHETANI! Tofautisha sana Amani, Imani, Furaha, Tamaa, Hamu nk
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja. Lakini kuna neno moja linasema Zijaribuni hizo roho!! Hata shetani anaweza kujigeuza kuwa kama Malaika wa nuru!! Na lingine linasema unabii lazima upimwe!! Huoni kama shetani anaweza kuja kwako/kwangu kama malaika wa nuru??
nimepata maono!
Endelea kumhoji.. usipote bahati yako,lol...
Bwana Yesu asifiwe Mpendwa, habari ya uzima?? Mi namuuliza tu kwa upendo wa Agape my dear!! Sidhani kama kuna zaidi ya hapo kwa kweli!!!!
Nakubaliana na wewe asilimia mia moja. Lakini kuna neno moja linasema Zijaribuni hizo roho!! Hata shetani anaweza kujigeuza kuwa kama Malaika wa nuru!! Na lingine linasema unabii lazima upimwe!! Huoni kama shetani anaweza kuja kwako/kwangu kama malaika wa nuru??
mkuu nimekukubali na kile unachokiamini.
Nimefurahishwa na sifa zako, na msimamo wako, ya kwamba ombi lako sio utani, unamaanisha na umejiandaa kukabiliana na changamoto. Yaani hapo kwenye criteria umechuja wengi sana.
LD, pia hongera zako kwa kumchallenge huyu jamaa.. hebu muwasiliane vizuri
Mungu awe nawe mkuu, na atimize haja ya moyo wako!
Neno la Mungu linasema wanaamani wale wanaomtuamini Mungu wa Ibrahim. There is a way for you.
Kiswahili cheupe ndugu yangu! Hakuna kufanya ngono kabla ya ndoa yaani wakati tukiwa wachumba isije ikawa nataka kutest noooooooooooooooo!Sifa zako ulizotoa ni nzuri ila hapa sijaelewa NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!
unamaanisha awe hajawahi kuchakachuliwa/bikira au wakati mkianza uchumba wenu bila kujali yaliyopita??wafafanulie wana JF
Watu mnashangaza kweli!Sifa gani hizo zisizopatikana kwa wanawake wasiojiuza?Uzuri wa sura?Umri 21-24?Elimu ya kuanzia form4?Kama hupendi thread ya mtu ni bora kuipotezea kuliko kuandika uzushi!Kuna wazuri wangapi wametulia na waume zao..na wengine wapo wanasubiria kuwapata!!
Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
i. Mlokole wa kweli
ii. Kati ya 21 hadi 24
iii. Akiwa mweupe ni extra sifa
iv. Awe na shule kuanzia FM4 na kuendelea
v. Awe na kazi/uchumi asiwe golikipa.
vi. Siyo siri napenda awe mrembo tena haswaaaaaaa!
vii. Awe tayari kufahamiana namimi kwa kina NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!
Sifa za Zinazopewa kipaumbele.
i. Ulokole wa kweli
ii. Maono ya kumtumikia Mungu
iii. Idea ya kuwa Mama Mchungaji
mkuu hongera kwa idea yako nzuri na maono yako.
ktk kutafuta kwako aliyekamilika fahamu akuna aliyemkamilifu ata mmoja namaanisha na ww. unaitaji asiyekamilika ili akamilishe yale mapungufu yako.
kuhusu mlokole wa kweli cjui unakipimo gani kwani kila mlokole ni mlokole wa kweli na usisahau wokovu ni siri ya mtu na mungu ata shetani anauwezo wakuwa mlokole safi.
unahitaji mungu kwani mungu tangu ampe adamu mke na mke alipokosea adamu akamwambia mungu ni huyu mke ulonipa, mungu akasema mtu na atafute mke ndio mana bibilia inasema apatae mke apata kitu chema na kibali mbele za mungu so kunakutafuta na hili lakutokujuana ucpokuwa makini utabeba kimeo mfano kama ulompenda anajinsia mbili na ww ukutaka kuchunguza tangu mwanzoni utafanyaje?
Mungu alisema kabisa, ikiwa ninyi watoto wenu wakiwaomba Samaki hamuwezi kuwapa nyoka je kulikoni mimi Baba yenu? Aombaye kwa Imani kupitia Jina la Yesu atapewa ili mwana atukuzwe ndani ya Baba!
Lizzy,
Nadhani sifa za anayetafutwa haujasoma zote:
Soma moja moja sasa na kutafakari - Acha jazba!
Hivi hapo Dodoma hamna "Night Clubs"? Nenda UDOM au CBE, chukua "mrembo" kaoe! Hapa kwenye Kurasa za mitandao unapoteza muda!
Unavyotafsiri sivyo ndugu yangu! Nisawa na neno la Mungu unaweza kusoma ukatoka na idea tofauti kabisa, ila akisoma mwingine anapata picha tofauti na wewe! Wacha wa Mungu wasome na kuelewa usiwalazimishe waelewe kama ulivyoelewa wewe!