LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
Hahahahahaha unanifanya nifurahi sasa! Imeandikwa akija umshinde kwa Neno! si uliona Yesu alivyomshinda shetani? ahahahaha hiyo ni rahisi sana!
Gud!! Kwa hiyo tumekubaliana Amani ya nafsi zetu wenyewe na ibilsi ipo sio?? Cha Muhimu ni kuishinda sio??
Ok!! Naomba niulize hivi umejiandaa vipi kumshinda Ibilisi pale atakapotokea mtu mwenye sifa zote hapo ulizozitaja. Lakini sio mpango wa Mungu umuoe huyo??