Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Kwahiyo JF ndo kwenye mizoga??Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol
Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo JF ndo kwenye mizoga??Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol
Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi
Ndugu, unataka MKE MWEMA au unataka MKE WA KUSUUZA MOYO WAKO???
Mke mwema aliyetoka kwa Bwana ana Urembo wa Roho Mtakatifu na Neno la Bwana na sio Urembo huu wa kidunia. Au sema wazi unataka awe mrembo wa mapodozi.
Kipindi cha Adamu na Hawa kulikuwa na wanadamu wangapi??? Je ni sahihi kufananisha na kipindi hiki cha wanadamu wengi??
Kwahiyo JF ndo kwenye mizoga??
Wapi imeandikwa?
Kuna sehemu Yesu alimwambia Petro nenda/rudi nyuma yangu shetani!! Kwani Petro alikuwa shetani??
Kuhusu negative saidi, niruhusu tu niulize hayo maswali. Wakati unahubiri positive saidi acha tujue na upande mwingine wa shilingi....manake shetani pia yupo na watumishi wake wa kike na kiume wapo.....!!!!!
Lizzy naona leo umeamka vizuri..point
Leo tu jamani?Thnx nwy!
Nnavyojua ni siku zote!Ila siku nikipingana na wewe unaweza kuona sio kama baadhi wanavyoweza kuona leo!kumbe ni siku zote... lakini ni muhimu watu wakafikiria nyuzi 360. tuondokane na baadhi ya fikra
Mara sijui mrembo ni wakusuuzia moyo!Mwenyewe ameshasema anataka atakaeuridhisha moyo wake!Sasa mnataka abebane na mtu asiye mridhisha kisa?Wengine mnauliza kwanini aweke tangazo JF wakati anataka mke mwema!Kwani hao wake wema wanashushwa kutoka mawinguni au wanakutanishwa tu popote?Mnajuaje kama hayupo hapa?Nyie wadada wote mnaokandia hamwezi kua mke mwema kwa mtu?MTAFUTAJI USIKATISHWE MOYO KISA UMEWEKA VIGEZO AMBAVYO HAVIJAWAFURAHISHA!KAMA YUKO HAPA UTAMPATA TU!KILA LA HERI..USISAHAU MAOMBI!
Ha ha ha ha ha
Haya ndio majibu ya Lizzy bana
Kweli sasa nimeamini
Lizzy,
Nadhani sifa za anayetafutwa haujasoma zote:
Soma moja moja sasa na kutafakari - Acha jazba![/SIZE]
]Mara sijui mrembo ni wakusuuzia moyo![/COLOR]Mwenyewe ameshasema anataka atakaeuridhisha moyo wake!Sasa mnataka abebane na mtu asiye mridhisha kisa?Wengine mnauliza kwanini aweke tangazo JF wakati anataka mke mwema!Kwani hao wake wema wanashushwa kutoka mawinguni au wanakutanishwa tu popote?Mnajuaje kama hayupo hapa?Nyie wadada wote mnaokandia hamwezi kua mke mwema kwa mtu?MTAFUTAJI USIKATISHWE MOYO KISA UMEWEKA VIGEZO AMBAVYO HAVIJAWAFURAHISHA!KAMA YUKO HAPA UTAMPATA TU!KILA LA HERI..USISAHAU MAOMBI!
Ha ha ha ha ha
Haya ndio majibu ya Lizzy bana
Kweli sasa nimeamini
Hiyo red nilidhani naiona mimi tu, kumbe wapo wengine
Look down and see how she challenges other pipo.
Sifa zoote ninazo kasoro ya kwanza ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na ya sita.
Kila la heri mazunguse.
lakini petro hakuwa mtumishi wa shetani kwa tukio lile..ila shetani alimtumia ( quite confusing..)
Lakini Mungu ni mwema..kama mleta hoja anavyosisitiza, mtu mbaya hawezi kupita kwenye chekeche lake la kiroho..sijui ana vigezo gani, lakini anavijua mwenyewe, na wewe mpime kwa vigezo vyako
Natamani tu kujua!! Mungu si anasema na sisi kwa njia nyingi? Sasa natamani kujua wewe kama mtu wa rohoni umejua je kama kuweka tangazo hapa ni mapenzi ya Mungu!!