Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki

Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki

Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.

hiyo avatar ya Cece Winans ni nzuri, Unampenda?
 
Kila kitu kinawezekana. Kuna njia nyingi tu za wapendanao kukutana. Ujio wa internet umewezesha wale wanaojificha nyuma ya PC, na laptops wapate wapendwa wao. Ni mapenzi ya Mungu kabisa, ikiwezekana na kwa wakati sahihi mtu apate asali wake wa moyo. Haijalishi watakutana darasani, kwenye daladala au sokoni au facebook
tuko pamoja piga injili ya leo!
 
Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.

Asante sana nakushukru Keren na nikuhakikishie hapiti mtu kama ni ngozi ya kondoo kumbe chui hataruhusiwa malngoni hakika yangu na Bwana!
 
Jamani wanaJF,
a) Wanaopenda kukandia karibuni
b) wenye nia njema karibuni saaaana!

Lengo
Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
i. Mlokole wa kweli
ii. Kati ya 21 hadi 24
iii. Akiwa mweupe ni extra sifa
iv. Awe na shule kuanzia FM4 na kuendelea
v. Awe na kazi/uchumi asiwe golikipa.
vi. Siyo siri napenda awe mrembo tena haswaaaaaaa!
vii. Awe tayari kufahamiana namimi kwa kina NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!

Sifa za Zinazopewa kipaumbele.
i. Ulokole wa kweli
ii. Maono ya kumtumikia Mungu
iii. Idea ya kuwa Mama Mchungaji

Nb: Napatikana central Tanganyika! Nami pia najishughulisha na uchumi. Sifa zingine zote nitakupa baada ya kuwasiliana at the first time! Niandikie email: dmadulu@yahoo.com SHETANI HANA NAFASI HATA KAMA NI KWA LIPI, MUNGU MAPENZI YAKO NA YATIMIZWE!

Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol

Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi
 
Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.
thenkiyu
 
Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol

Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi

Kwa maneno yako UTAHESABIWA HAKI na kwa maneno ya UTAHUKUMIWA! sikujui hunijui! Thenkiyu!
 
hiyo avatar ya Cece Winans ni nzuri, Unampenda?

Sasa mpendwa na wewe unauliza majibu??? Sidhani kama nitatumia avatar ya mtu ambaye simpendi...nimetafuta picha ambayo inaniwakilisha kwa namna fulani hivi!
Barikiwa.
 
Sasa mpendwa na wewe unauliza majibu??? Sidhani kama nitatumia avatar ya mtu ambaye simpendi...nimetafuta picha ambayo inaniwakilisha kwa namna fulani hivi!
Barikiwa.

Nice to hear that..
namjua huyu mwanamama au mwanadada ni muimbaji..nafikiri na wewe pia utakuwa muimbaji???
 
Jaman mambo mengine ni ya mtu na Mungu unafikiri nikufafanuliaje ndugu yangu juu ya swali hili? kama mpaka tunaulizana na njia ambazo ni mtu na Mungu! unanifurahisha!

Natamani tu kujua!! Mungu si anasema na sisi kwa njia nyingi? Sasa natamani kujua wewe kama mtu wa rohoni umejua je kama kuweka tangazo hapa ni mapenzi ya Mungu!!
 
Uko sahihi.
Labda nikuulize, kwanini uko sensitive na ubaya? I mean, wengi wetu tuna-focus on the negative side more than on the +ve side. Mungu hajaumba mwanadamu awe mtumishi wa shetani originally.. (hapo kwenye RED, huwezi kuwa two-sides at the same time, labda uwe unapretend).. Kila mtu anapitia mapito, lakini haimaanishi wewe ni mtumishi wa shetani. Tena Mungu anawependa ili warudi kwenye mstari wa kumtumikia yeye..
All the best my dear

Kuna sehemu Yesu alimwambia Petro nenda/rudi nyuma yangu shetani!! Kwani Petro alikuwa shetani??

Kuhusu negative saidi, niruhusu tu niulize hayo maswali. Wakati unahubiri positive saidi acha tujue na upande mwingine wa shilingi....manake shetani pia yupo na watumishi wake wa kike na kiume wapo.....!!!!!
 
Back
Top Bottom