Hahahahahaha unanifanya nifurahi sasa! Imeandikwa akija umshinde kwa Neno! si uliona Yesu alivyomshinda shetani? ahahahaha hiyo ni rahisi sana!
Gud!! Kwa hiyo tumekubaliana Amani ya nafsi zetu wenyewe na ibilsi ipo sio?? Cha Muhimu ni kuishinda sio??
Ok!! Naomba niulize hivi umejiandaa vipi kumshinda Ibilisi pale atakapotokea mtu mwenye sifa zote hapo ulizozitaja. Lakini sio mpango wa Mungu umuoe huyo??
Amina dada LD,
Na wewe Bwana Yesu asifiwe,
Njia za Mungu si njia za wanadamu, mawazo yake ni kutupatia mema sisi waja wake..
Nafikiri nia ya mleta mada ni yeye kupata upendo wa Agape, awe nao nyumbani kwake. lol..
Naamini haya: Amani ya Mungu ndiyo kuu! shetani hana amani analeta homa ya furaha tu i mean upepo wa furaha tu then baadae anapepesuka! Kuhusu kushinda mimi ni mshindi kama bibilia ilivyosema! Tena ni mshindi sana! 2kor 13:5 Hata siku moja naamini Mungu hatanipa nyoka wakati nimemuomba samaki! Labda nianguke kiroho au nikengeuke niende nje na mapenzi yake! Amen
Dah Kazi kweli kweli..wewe unaangalia urembo au tabia njema.Sifa na vigezo ulivyovitumia hujakaa/fanana kiroho/kilokole kwa upande wakoJamani wanaJF,
a) Wanaopenda kukandia karibuni
b) wenye nia njema karibuni saaaana!
Lengo
Natafuta mchumba aliyekamili na tayari kwa ajili ya ndoa Sifa:
i. Mlokole wa kweli
ii. Kati ya 21 hadi 24
iii. Akiwa mweupe ni extra sifa
iv. Awe na shule kuanzia FM4 na kuendelea
v. Awe na kazi/uchumi asiwe golikipa.
vi. Siyo siri napenda awe mrembo tena haswaaaaaaa!
vii. Awe tayari kufahamiana namimi kwa kina NGONO KABLA YA NDOA HAIPO!
Sifa za Zinazopewa kipaumbele.
i. Ulokole wa kweli
ii. Maono ya kumtumikia Mungu
iii. Idea ya kuwa Mama Mchungaji
Nb: Napatikana central Tanganyika! Nami pia najishughulisha na uchumi. Sifa zingine zote nitakupa baada ya kuwasiliana at the first time! Niandikie email: dmadulu@yahoo.com SHETANI HANA NAFASI HATA KAMA NI KWA LIPI, MUNGU MAPENZI
YAKO NA YATIMIZWE!
Huyu anatafuta mke, nafikiri Agape love + Romantic love!! Na ndio maana kaweka vigezo vya weupe nk nk...mi ninavyofikiri Agape love ipo tu popote madamu ni binadamu anayeishi na watu duniani. Lakini hicho anachokitafuta hata mimi naweza kuwa na hivyo vigezo vyote, lakini nikawa mtumishi wa Shetani.......!!!!!
Ukiwa mtumishi wa shetani nakuhakikishia hupiti interview ya rohoni!Huyu anatafuta mke, nafikiri Agape love + Romantic love!! Na ndio maana kaweka vigezo vya weupe nk nk...mi ninavyofikiri Agape love ipo tu popote madamu ni binadamu anayeishi na watu duniani. Lakini hicho anachokitafuta hata mimi naweza kuwa na hivyo vigezo vyote, lakini nikawa mtumishi wa Shetani.......!!!!!
Dah Kazi kweli kweli..wewe unaangalia urembo au tabia njema.Sifa na vigezo ulivyovitumia hujakaa/fanana kiroho/kilokole kwa upande wako
Mtumishi tusaidiane kuhubiri injili Asante sana!~Uko sahihi.
Labda nikuulize, kwanini uko sensitive na ubaya? I mean, wengi wetu tuna-focus on the negative side more than on the +ve side. Mungu hajaumba mwanadamu awe mtumishi wa shetani originally.. (hapo kwenye RED, huwezi kuwa two-sides at the same time, labda uwe unapretend).. Kila mtu anapitia mapito, lakini haimaanishi wewe ni mtumishi wa shetani. Tena Mungu anawependa ili warudi kwenye mstari wa kumtumikia yeye..
All the best my dear
Anacheeekaaaaaaa. Au wewe ndio umelengwa nini, LD?Ha ha ha ha ha ha!!!!
Lizzy,
Nadhani sifa za anayetafutwa haujasoma zote:
Soma moja moja sasa na kutafakari - Acha jazba!
Sijaona hata moja ya ajabu!Kwani hamna walokole ambao ni wazuri wa sura tena weupe..wenye kazi..waliosoma..katika umri aliotaja..wanaotaka kufahamiana bila kua na mahusiano ya kimwili na ambao kua mama mchungaji kwao sio tatizo!?
Mtumishi tusaidiane kuhubiri injili Asante sana!~
Dah Kazi kweli kweli..wewe unaangalia urembo au tabia njema.Sifa na vigezo ulivyovitumia hujakaa/fanana kiroho/kilokole kwa upande wako
Kila unachosema na kufikiri ni haki machoni pako lakini uamzi ndio uliotukifikisha hapa leo nao ulifanywa na mtu 1 tu! Hawa kula tundaDah Kazi kweli kweli..wewe unaangalia urembo au tabia njema.Sifa na vigezo ulivyovitumia hujakaa/fanana kiroho/kilokole kwa upande wako
kuna swali najiuliza kila siku sipati jibu ila naona jambo hili linajirudiarudia kila siku,hivi kwa maisha yetu tunayoishi tumefikia hatua hii ya kutafuta wenza kwenye mitandao au kuna kilichojificha nyuma ya pazia:rain:
Amen!!! Kwani umejua je kama ni mapenzi ya Mungu uweke tangazo la kupata mke hapa??