Mke: Natafuta mchumba/mke yaani ninahamu kweli ya kumiliki

Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.

hiyo avatar ya Cece Winans ni nzuri, Unampenda?
 
tuko pamoja piga injili ya leo!
 
Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.

Asante sana nakushukru Keren na nikuhakikishie hapiti mtu kama ni ngozi ya kondoo kumbe chui hataruhusiwa malngoni hakika yangu na Bwana!
 
Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol

Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi
 
Nakutakia kila la heri Mazunguse...Bwana akupe haya ya moyo wako. Cha muhimu maombi zaidi...maana kwenye mtandao wanaweza kujitokeza wengi na wamevaa ngozi ya kondoo!
Barikiwa.
thenkiyu
 
Mtakuja pata mpaka mizoga jamani lol

Lakini sio kosa lako itakuwa domo gundi

Kwa maneno yako UTAHESABIWA HAKI na kwa maneno ya UTAHUKUMIWA! sikujui hunijui! Thenkiyu!
 
hiyo avatar ya Cece Winans ni nzuri, Unampenda?

Sasa mpendwa na wewe unauliza majibu??? Sidhani kama nitatumia avatar ya mtu ambaye simpendi...nimetafuta picha ambayo inaniwakilisha kwa namna fulani hivi!
Barikiwa.
 
Sasa mpendwa na wewe unauliza majibu??? Sidhani kama nitatumia avatar ya mtu ambaye simpendi...nimetafuta picha ambayo inaniwakilisha kwa namna fulani hivi!
Barikiwa.

Nice to hear that..
namjua huyu mwanamama au mwanadada ni muimbaji..nafikiri na wewe pia utakuwa muimbaji???
 
Jaman mambo mengine ni ya mtu na Mungu unafikiri nikufafanuliaje ndugu yangu juu ya swali hili? kama mpaka tunaulizana na njia ambazo ni mtu na Mungu! unanifurahisha!

Natamani tu kujua!! Mungu si anasema na sisi kwa njia nyingi? Sasa natamani kujua wewe kama mtu wa rohoni umejua je kama kuweka tangazo hapa ni mapenzi ya Mungu!!
 
Kuna sehemu Yesu alimwambia Petro nenda/rudi nyuma yangu shetani!! Kwani Petro alikuwa shetani??

Kuhusu negative saidi, niruhusu tu niulize hayo maswali. Wakati unahubiri positive saidi acha tujue na upande mwingine wa shilingi....manake shetani pia yupo na watumishi wake wa kike na kiume wapo.....!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…