Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

kumbe lengo ni kuisambaratisha ndoa?
basi tuhuma ni za kutengeneza
 
nani amekutuma uwe mshauri wake?
 
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.

Kwa haya maneno.. unaonekana nawe kama vile.. ulipita humo na sasa umekasirika kumuona mwingine. Ati umepajuaje na kwamba Grace analala humo humo.. tena ulivyomuita Grace tu duh!!! Si mna jinsi ya kuwaita wake za hao au

Mapenzi sio kitu cha kuamuru mtu aachane na mke/mme.. labda kama unataka wewe kuingia katika nafai hiyo.

Mtu anayemjali wa kwenye ndoa na kumuonea huruma.. na mkiwa mnaosali nao hadi kuingia kujua vyumbani mwao.. ni kumuombea Mungu amuongoze na kuiombea familia ya muhusika pia. SIO KUTOA ODA.. au ndio labda ni unayemvizia mkewe awe wako.
 
Kuwepo kwa watoto kamwe isiwe kigezo cha kutoachana ili hali ndoa ina matatizo makubwa
 
Achana na maswala ya ndoa za watu.

Ndiyo kwanzaa huyo mama amefall in love baada ya kuona viuno vya mzee wake.
 
Sikatai ila kuachana iwe option ya mwisho, uvumilivu ni jambo jema kwa kila mwana mahusiano!!

acheni upumbavu kuna vya kuvumilia lakini sio hii ya fedheha kuona mume wako akikata mauno kwa mchepuko halafu ufukute kwa mkewe hampi haki yake, mbaya zaidi ameji record , mbaya zaidi Tena ni mchungaji, huyo Mama atakua na matatizo ya akili , ndugu zake na jamaa zake Leo wanaona matako ya mkwe wao akifanya ngono na mwanamke mwingine , mambo mengine magumu sana , huyu Mama Ana moyo wa paka , gwajima ni Shetani ibilisi wa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…