Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

Mke wa Askofu Gwajima umevumilia mengi, “it's time to go”

kumbe lengo ni kuisambaratisha ndoa?
basi tuhuma ni za kutengeneza
 
nani amekutuma uwe mshauri wake?
Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.

Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.

Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.

Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.

Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.

Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.

Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).

Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.

Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.

You are better than that.
 
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.

Kwa haya maneno.. unaonekana nawe kama vile.. ulipita humo na sasa umekasirika kumuona mwingine. Ati umepajuaje na kwamba Grace analala humo humo.. tena ulivyomuita Grace tu duh!!! Si mna jinsi ya kuwaita wake za hao au

Mapenzi sio kitu cha kuamuru mtu aachane na mke/mme.. labda kama unataka wewe kuingia katika nafai hiyo.

Mtu anayemjali wa kwenye ndoa na kumuonea huruma.. na mkiwa mnaosali nao hadi kuingia kujua vyumbani mwao.. ni kumuombea Mungu amuongoze na kuiombea familia ya muhusika pia. SIO KUTOA ODA.. au ndio labda ni unayemvizia mkewe awe wako.
 
Mi i hate wanao-come up na conclusion ya wenzao kuachana wakisahau madhara ya conclusion hiyo, remember kuna watoto, wategemezi na 3rd parties wengine watakaopata madhara ya hilo unaloona kwako ni bora.

If your doing for good faith ni tuombee wapate suruhu isiyo ya kuachana!!
Kuwepo kwa watoto kamwe isiwe kigezo cha kutoachana ili hali ndoa ina matatizo makubwa
 
Achana na maswala ya ndoa za watu.

Ndiyo kwanzaa huyo mama amefall in love baada ya kuona viuno vya mzee wake.
 
Sikatai ila kuachana iwe option ya mwisho, uvumilivu ni jambo jema kwa kila mwana mahusiano!!

acheni upumbavu kuna vya kuvumilia lakini sio hii ya fedheha kuona mume wako akikata mauno kwa mchepuko halafu ufukute kwa mkewe hampi haki yake, mbaya zaidi ameji record , mbaya zaidi Tena ni mchungaji, huyo Mama atakua na matatizo ya akili , ndugu zake na jamaa zake Leo wanaona matako ya mkwe wao akifanya ngono na mwanamke mwingine , mambo mengine magumu sana , huyu Mama Ana moyo wa paka , gwajima ni Shetani ibilisi wa kutupwa
 
Back
Top Bottom