Mke wa AY ni mzuri kuliko wanawake wote Tanzania; yule ni Cleopatra

Kwangu mimi Demu wangu ni mzuri kuliko demu wa AY
 
WEWE HUJAWAHI KUONA NDIO MAANA UNAONA HUYO NDIYE MZURI KULIKO WOTE
 
Wewe usitudharau nenda kamwoe mara ya pili mwone wewe ndio unasura mbaya wewe mwenyewe hivi nikuulize unagegedaga nani kama sio sisi nyambafu ningekuwa karibu yako ningekupaka mpaka mnafiki wewe
 
wacha kokoro zako........ usihangaike na rangi tamu ya chai ni sukari atii
mzuri ni ngombe kila kitu cha mwili wake ni mali mpaka mavi ni mbolea
 
Halafu pia kwa watoto wa kinyarwanda walivyo wakali huyo wa AY mbona ni hata hatishi.. kawaida tu. Rwanda kuna visu wewe si mchezo huyo ukienda kule hata humuangalii mara mbili. Kule kuna watoto utasema hawanyi au hawaendi chooni eboo.
 
Sasa ww unafaidika vipi na wanawake wazuri wakati hata kusugua huwezi ubaishia kuhangakika kutafuta wanaume wenzanko wakusugue
 
Labda wewe mgeni,kuna Jackline Mengi,Nancy Sumari,Miriamu Odemba,Happyness Magesa and many more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…