Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

Stori za kusadikika huo' muda wa kubuni hizi story fungua biashara wekeza huko hayo mawazo

Huu muda ulotumia kuandika Hii comment ungeutumia kukuza biashara uliyowekeza Mkuu.

Usidhani humu kila mmoja yupo level uliyonayo wewe sasa hivi. Wapo waliokuzidi na wapo uliowazidi. Na wapo mnaolingana. Ukishalijua Jambo hili ingetosha kuona ulicho- comment ni upuuzi au hekima
 
Binafsi ngono haijawahi kunitawala kiasi hicho(japo naipenda), kama ninaona kuna kitu hakiko sawa sijiulizi mara mbili. So, mke wa bosi hata afanyeje siwezi kumlala.

Mke WA boss ni kiwakilishi cha mazuri na yathamani. Je utakaposhawishiwa uibe Pesa, au Cheo Kwa boss wako, he utakuwa MWAMINIFU au utaamua kuwa msaliti (kuanguka)?
 
Kufanya Mapenzi ni kitu kikubwa ikiwa utafanya mapenzi na mhusika ambaye ni miliki ya mtu mwingine.
Utauawa na atakayekuua anahaki zote za kukufanyia hivyo na Roho yake haitakuwa hatiani.

Ila kufanya Mapenzi na Wahusika wasio Chini ya miliki ya mtu yeyote sio big issue Mkuu.
Ni kadiri ya maelewano yenu.
Kufa nako mnaogoPa ?
 
Mke WA boss ni kiwakilishi cha mazuri na yathamani. Je utakaposhawishiwa uibe Pesa, au Cheo Kwa boss wako, he utakuwa MWAMINIFU au utaamua kuwa msaliti (kuanguka)?
Siku zote tunapima +ve na -ve kabla ya kufanya maamuzi mkuu. Cheo na mali ni vya kutafuta na hata vikipotea huenda vikarudi tu. Uaminifu unajengwa kwa mda mrefu, na unaweza kuubomoa kwa dakika moja, ukishaharibu hapo inawezekana usiurejeshe tena.
 
Unanikumbusha kwenye kisa cha Daudi na Yule MKE wa jemadari wake.
Daudi alipenda sana kuonja onja kila ladha ya papuchi so ni tamaa ya mtu kutamani kuonja.

Kuna mwamba Yusufu huyu alijiheshimu akamheshimu bosi wake na mkewe pia.

Mke wa bosi alipojilengesha kwa Yusufu, mwamba alitoka nduki 😂😂

Ndivyo walivyo wasio na tamaa yaani wao hupotezea tu.
 
Na hapo ndipo Yusufu alipompiga Gap Daudi Kwa mbali Mno kwenye ishu za Mafanikio
 
Nitakubali lakini kishingo upande kwa masharti asinisaliti akaenda kwa mwingine
Ukitaka kujua kuwa zinaa ni upumbavu ni hapa,unakuta mtu una mkeo hutaki awe na mtu mwingine,ikiwa na maana kuwa hutaki kushare na mtu huyo mkeo,lakini unakuta uko tayari kutembea na mke wa mwanaume mwenzio bila hata ya kujali kuwa kalala naye usiku ule au la,yani hata kama wametembea asubuhi ukipewa mchana utatembea naye,na unakuwa hata na wivu eti asitembee na mwingine,kwahiyo ina maana mnataka mbakie nyinyi wawili tu na jamaa yake,kwanini sasa usimwambie na mkeo awe na mwanaume mmoja ili muwe wawili tu...
 
Siku zote tunapima +ve na -ve kabla ya kufanya maamuzi mkuu. Cheo na mali ni vya kutafuta na hata vikipotea huenda vikarudi tu. Uaminifu unajengwa kwa mda mrefu, na unaweza kuubomoa kwa dakika moja, ukishaharibu hapo inawezekana usiurejeshe tena.

Ni kweli Kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom