Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Funguka mkuu tunaweza kusaidiana hata Kwa ushauriNi dhambi moja tu mpaka sasa imekuwa kizingiti kwangu.
Nikishinda hii basi kwangu pepo ni hakika.MUNGU NISAIDIE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka mkuu tunaweza kusaidiana hata Kwa ushauriNi dhambi moja tu mpaka sasa imekuwa kizingiti kwangu.
Nikishinda hii basi kwangu pepo ni hakika.MUNGU NISAIDIE
Stori za kusadikika huo' muda wa kubuni hizi story fungua biashara wekeza huko hayo mawazo
Tangu nisalitiwe na mke wa jirani yangu sitaki kabisa hayo mambo.
sasa nikikataa anaweza kwenda kunisema vibaya kwa boss nifukuzwe kazi😅
Mtamuua vipi? Unadhani atakubali?Basi ntamshauri tumuue mume wake kwanza kama kweli ananipenda
Binafsi ngono haijawahi kunitawala kiasi hicho(japo naipenda), kama ninaona kuna kitu hakiko sawa sijiulizi mara mbili. So, mke wa bosi hata afanyeje siwezi kumlala.
Kufa nako mnaogoPa ?Kufanya Mapenzi ni kitu kikubwa ikiwa utafanya mapenzi na mhusika ambaye ni miliki ya mtu mwingine.
Utauawa na atakayekuua anahaki zote za kukufanyia hivyo na Roho yake haitakuwa hatiani.
Ila kufanya Mapenzi na Wahusika wasio Chini ya miliki ya mtu yeyote sio big issue Mkuu.
Ni kadiri ya maelewano yenu.
Uzee ndugu yangu uzeee😅😅😅Siku hizi umeacha utata wako.
Ngoja nikutafutie chuma
Siku zote tunapima +ve na -ve kabla ya kufanya maamuzi mkuu. Cheo na mali ni vya kutafuta na hata vikipotea huenda vikarudi tu. Uaminifu unajengwa kwa mda mrefu, na unaweza kuubomoa kwa dakika moja, ukishaharibu hapo inawezekana usiurejeshe tena.Mke WA boss ni kiwakilishi cha mazuri na yathamani. Je utakaposhawishiwa uibe Pesa, au Cheo Kwa boss wako, he utakuwa MWAMINIFU au utaamua kuwa msaliti (kuanguka)?
Kwa jinsi technology ilipofikia kwa sasa, unam record mazungumzo yote kisha unampelekea boss.😂😂
Sio kwamba utajiuliza kuwa huo NI mtego wa boss wako na Mkeo dhidi yako Kwanza?
Daudi alipenda sana kuonja onja kila ladha ya papuchi so ni tamaa ya mtu kutamani kuonja.Unanikumbusha kwenye kisa cha Daudi na Yule MKE wa jemadari wake.
Kwa jinsi technology ilipofikia kwa sasa, unam record mazungumzo yote kisha unampelekea boss.
Kamwe usiruhusi ngono ikaharibu kibarua chako.
Mimi awe mke wa Raisi mke wa bosi mtoto wa mwanajeshi mke wa mchungaji sijui mama wa rafiki.
Hivyo ni vyeo tu vinapita.
As long as ana K pale kati, mi napita naye
Daudi alipenda sana kuonja onja kila ladha ya papuchi so ni tamaa ya mtu kutamani kuonja.
Kuna mwamba Yusufu huyu alijiheshimu akamheshimu bosi wake na mkewe pia.
Mke wa bosi alipojilengesha kwa Yusufu, mwamba alitoka nduki 😂😂
Ndivyo walivyo wasio na tamaa yaani wao hupotezea tu.
Ukitaka kujua kuwa zinaa ni upumbavu ni hapa,unakuta mtu una mkeo hutaki awe na mtu mwingine,ikiwa na maana kuwa hutaki kushare na mtu huyo mkeo,lakini unakuta uko tayari kutembea na mke wa mwanaume mwenzio bila hata ya kujali kuwa kalala naye usiku ule au la,yani hata kama wametembea asubuhi ukipewa mchana utatembea naye,na unakuwa hata na wivu eti asitembee na mwingine,kwahiyo ina maana mnataka mbakie nyinyi wawili tu na jamaa yake,kwanini sasa usimwambie na mkeo awe na mwanaume mmoja ili muwe wawili tu...Nitakubali lakini kishingo upande kwa masharti asinisaliti akaenda kwa mwingine
Wenye biashara zao sasa hivi wapo busy kuzitumikia bishara zao hata huu uzi hawajauona. Wengine wapo huko kwenye jukwaa la biashara.Stori za kusadikika huo' muda wa kubuni hizi story fungua biashara wekeza huko hayo mawazo
Siku zote tunapima +ve na -ve kabla ya kufanya maamuzi mkuu. Cheo na mali ni vya kutafuta na hata vikipotea huenda vikarudi tu. Uaminifu unajengwa kwa mda mrefu, na unaweza kuubomoa kwa dakika moja, ukishaharibu hapo inawezekana usiurejeshe tena.