Mke wa boss wako akikutaka kimapenzi, je utakuwa Mwaminifu? Jibu lako ndio Siri ya Anguko au Mafanikio yako

Ulivomuelezea tu huyo mke wa boss mi huku nishadindisha, kiukwel boss atanisamehe kama ananijaribu Kwa njia Moja mi ntamchokonoa njia zote za mkewe kumbafu sana faza benad
 
Hakika mkuu kwa maana kuna wanawake wengi sana mbali na huyo anayeweza kukuharibia kibarua chako, sasa kwanini kuendekeza tamaa ya kutaka kulala na kila mwanamke?? Ukiaminiwa, na wewe onesha uaminifu vile vile.
 
Kuhani wa hekalu jeusi!!sio mjenzi huru wewe!!!?
 
Swala la KAZI na uaminifu ni mambo yanaenda pamoja

Lakini ,swala la kumchakata na kanitaka mwenye ,anachakatwa

Kikubwa mawasiliano yangu hayatahusika kujibu lolote linalotoka kwake kwanjia ya simu au maandishi
 
Hakika mkuu kwa maana kuna wanawake wengi sana mbali na huyo anayeweza kukuharibia kibarua chako, sasa kwanini kuendekeza tamaa ya kutaka kulala na kila mwanamke?? Ukiaminiwa, na wewe onesha uaminifu vile vile.
Mkuu ulinipm ila pm zangu hazifunguki
 
Swala la KAZI na uaminifu ni mambo yanaenda pamoja

Lakini ,swala la kumchakata na kanitaka mwenye ,anachakatwa

Kikubwa mawasiliano yangu hayatahusika kujibu lolote linalotoka kwake kwanjia ya simu au maandishi

Ukimchakata tafsiri yake wewe sio mwaminifu. Na kama sio mwaminifu hii inamanisha hujui kazi
 
Hapana sitakua mwaminifu ,lazima nimdinye.
 
Hapo namwambia make me a boss kwanza ndo nikunyonyeeee,nikulambe na kisha nikukojoze.Yani account isome digits nyingiii
 
Kama amemuoa kwa ndoa sigusi kwanza ntaongeza userious aasinizoee.
Ila ntahakikisha nakamata mapema ushahidi kuwa ananitongoza .
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tukiachana na visababu na visingizio ukweli nikwamba haifai na haikubaliki hata kidogo kufanya mapenzi na mke/mume wa mwajiri wako na kushindwa kwako kujizuia ni kudhihirisha udhaifu mkubwa mno ulionao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…