Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Ulivomuelezea tu huyo mke wa boss mi huku nishadindisha, kiukwel boss atanisamehe kama ananijaribu Kwa njia Moja mi ntamchokonoa njia zote za mkewe kumbafu sana faza benad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili tusi limekaa kistaarabuuuuu...kiufundi kwel yaniUnaweza kupitia na Mama yako as long as ana K?
Kama huwezi Why?
Hakika mkuu kwa maana kuna wanawake wengi sana mbali na huyo anayeweza kukuharibia kibarua chako, sasa kwanini kuendekeza tamaa ya kutaka kulala na kila mwanamke?? Ukiaminiwa, na wewe onesha uaminifu vile vile.Kwa kweli hapa umeongea kitu.
Mimi lazima nimchome.
Siwezi fanya upuuzi kama huo, naamini Yusufu angekuwepo enzi zetu angemrekodi, asingefungwa na angekuwa mtu huru.
Uaminifu ni kitu ambacho hukupandisha kwenye daraja bora zaidi. Ukiwa mwaminifu Kwa binadamu au Kwa Mungu au Kwa Shetani , lazima watakupa zawadi, ndo hizi wengine wanapokea karama za rohoni wengine wanapandishwa kwenye daraja.
Kuhani wa hekalu jeusi!!sio mjenzi huru wewe!!!?MKE WA BOSS WAKO AKIKUTAKA KIMAPENZI, JE UTAKUWA MWAMINIFU? JIBU LAKO NDIO SIRI YA ANGUKO AU MAFANIKIO YAKO
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani katika Hekalu Jeusi
Mke wa Boss wako ameumbika, shape imesimama kama namba ya Lampard mchezaji wa zamani wa Chelsea. Akitembea anatikisika na kutikisa kila moyo wa mwanaume. Uzuri wake umevuka mipaka ya anga na bahari.
Kila akikuona anatabasamu na kukukonyeza na macho ya mahaba kama Jinni Samantha. Akaona haitoshi, anavizia kila boss wako akiwa hayupo anakuita chumbani kwake ili akuonyeshe vizuri na vinono anavyompaga Boss wako. Akuonyeshe Hifadhi na Amana ya Boss wako.
Unamkuta upaja uko uchi ukiwa unameremeta kwa kupakwa mafuta. Madoido na michombezo huku akijibinua na kujiviringa kama nyoka aliyemwagiwa mafuta yanazidi kuiteka tamaa yako. Hapo anayalegeza macho yake kisha anakunyooshea kidole na kukupa ishara ya kukuita kisha analamba vidole vyake akiwa anaendelea kujiviringa huenda ni kitandani, na sio tuu kitandani Bali kitanda anacholalia boss wako.
Bado umesimama ukiwa umetekewa, tamaa na utashi wako vikipigana vikali nafsini Mwako. Je utamkubalia au utamkatalia MKE wa boss wako? Vijana wa sasa wanakuambia je utapiga? Wakati unajaribu kufikiria hayo ukiwa unasoma, hapohapo umesimama fikarani Mbele ya Mke wa boss wako aliyenusu uchu akiwa amedhamiria leo hiyo lazima umyonyote kama sio kumkata Kiu yake.
Wakati unajishauri, hapohapo Mke wa boss anakuambia, usiogope, hutaki mambo mazuri, hutaki kuwa kama Boss wako? Mbona wewe ni mzuri kuliko Boss wako, Angalia ulivyo kijana mtanashati, tazama ulivyojengeka, wewe unanguvu na mkakamavu, unastahili kulimega tunda langu. Itakuwa Siri baina yetu. Alafu hautakuwa tena mtumishi Bali utakuwa Boss, hutaki kujitegemea? sikuwahi kusikia ukisema unataka kufanya biashara Fulani?"
Hapo utakuwa umejichanganya na atakuwa karibu ya Robo tatu ya ushindi, anakaribia kukushinda. Ili kukamilisha ushindi ananyanyuka pale kitandani, anakufuata mpaka ulipo kimanjonjo na mikogo, huku akihakikisha mwili wake unazidi kukuharibu vibaya kihisia ili ushindwe kufikiri vizuri. Anakusogelea mpaka mnagusana mkiwa mmesimama, anakushika mikono, mnatazamana macho yake akiwa kayalegeza haswa ni kama yupo penzini, anakuvuta kuelekea kitandani.
Je, utakuwa MWAMINIFU Kwa Boss wako au utaamua kufanya Usaliti? Jibu lako ndilo litaamua kuwa wewe ni mtu wa Aina gani. Je ni mtu wa kuanguka, kushindwa au mtu wa kusimama na kushinda.
Ili ushindwe au ufanikiwe utapimwa katika kipengele kimoja nyeti, nacho ni uaminifu. Uaminifu ndio kipengele pekee ambacho kitakufanya ufanikiwe iwe Kwa Jema au Kwa Ubaya.
Waovu pia hupenda Watu waaminifu.
Wema pia hupenda Watu waaminifu.
Hakuna Mafanikio au ushindi mahali kusiko na uaminifu. Bado haijawahi kutokea. Usaliti ndio nguzo kubwa ya kushindwa au kuanguka.
Dili zote kubwa haramu unazozijua zinahitaji Watu waaminifu.
Dili zote kubwa Halali zinahitaji Watu Waaminifu.
Uaminifu Kwa Lugha ya kitaalamu inaitwa Nidhamu. Kujisimamia, na kujidhibiti.
Uaminifu unapimwa Kwa kile unachokipenda alafu sio chako. Uaminifu unapimwa Kwa vitu vizuri unavyovutiwa navyo ambavyo sio vyako. Huwezi sema Fulani ni mwaminifu Wakati hujajua anapenda nini na kipi kinachomvutia.
Mfano wa mke wa Boss nimeutumia kuwakilisha vitu vyote vya thamani ambavyo viko katika Ulimwengu huu.
Inaweza kuwa Pesa, utajiri au Cheo n.k.
Je utakapokuwa katika mazingira ya kuiba Pesa za Kampuni unayofanyia kazi au pesa za boss wako, ukashawishiwa uibe je utakuwa MWAMINIFU?
Au utakapokuwa katika mazingira ya kumpindua boss wako, na ukashawishiwa utakubali au ndio hautakuwa mwaminifu?
Je utakapokuwa katika mazingira ya kum-cheat Mkeo au Mumeo na ukashawishiwa um-cheat je utakubali au utakuwa MWAMINIFU?
Huwezi ukaanguka kwenye Jambo lolote Kabla ya kutokuwa msaliti, yaani kutokuwa mwaminifu. Na kamwe huwezi ukafanikiwa Kwa Jambo lolote Kabla hujawa mwaminifu au haujaaminiwa.
Swali ni he, utakapoaminiwa utakuwa MWAMINIFU?
Umeomba kazi Watu wakakuamini kuwa utafanya kazi vizuri, je utakuwa MWAMINIFU?
Uaminifu upo kwenye Imani. Imani ni moja ya mambo yanayojenga utu wa binadamu. Binadamu bila uaminifu (Imani) ni kama Mnyama. Imani inahusu zaidi Roho, Wakati utashi au Akili na Upendo unahusu Nafsi.
Hadithi zote za kila Mwanadamu katika kushindwa na kushinda kwake kutahusu Uaminifu wake.
Hata Ile hadithi ya Edeni ya Kula tunda bila kujali ni hadithi ya kweli au yakubuni imesimamia ujumbe uleule yakuwa, Uaminifu. Je kile ambacho umeambiwa usikile(sio chako) ukishawishiwa ukile he utakumwaminifu au utakuwa muas(utaamua kuanguka)?
Kama hujanielewa leo unaruhusa kuuliza Maswali.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kuhani wa hekalu jeusi!!sio mjenzi huru wewe!!!?
🥺🤔..."naomba nipigwe ban kwenye hii thread kwa miaka 2."... Anasema Bangida akimsimlia Mjomba Fujo aliyosimuliwa na mshamba_hachekwi kuwa bwana Siri ya sifuri alimshuhudia Mideko amesimama na Poker wakimsengenya Ms eyes alietangaza kuwa mimi nimesema nipigwe ban...
🤣🤣🤣🤣🤣 yatakukuta.. angalia sana..."naomba nipigwe ban kwenye hii thread kwa miaka 2."... Anasema Bangida akimsimlia Mjomba Fujo aliyosimuliwa na mshamba_hachekwi kuwa bwana Siri ya sifuri alimshuhudia Mideko amesimama na Poker wakimsengenya Ms eyes alietangaza kuwa mimi nimesema nipigwe ban...
🤣🤣🤣🤣🤣 yatakukuta.. angalia sana
Mkuu ulinipm ila pm zangu hazifungukiHakika mkuu kwa maana kuna wanawake wengi sana mbali na huyo anayeweza kukuharibia kibarua chako, sasa kwanini kuendekeza tamaa ya kutaka kulala na kila mwanamke?? Ukiaminiwa, na wewe onesha uaminifu vile vile.
Swala la KAZI na uaminifu ni mambo yanaenda pamoja
Lakini ,swala la kumchakata na kanitaka mwenye ,anachakatwa
Kikubwa mawasiliano yangu hayatahusika kujibu lolote linalotoka kwake kwanjia ya simu au maandishi
sasa nikikataa anaweza kwenda kunisema vibaya kwa boss nifukuzwe kazi[emoji28]
Tukiachana na visababu na visingizio ukweli nikwamba haifai na haikubaliki hata kidogo kufanya mapenzi na mke/mume wa mwajiri wako na kushindwa kwako kujizuia ni kudhihirisha udhaifu mkubwa mno ulionao.[emoji23][emoji23][emoji23]