Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Basi mkuu tumekusikia.
Tutaacha.

Lakini naomba nikuulize akaunt inasoma au umendika tu?
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...
 
Ndio maana mond haoi ameshaona mbali ... Nasema tena Kama una pesa wewe chapa mademu usioe.
 
Andre Young anaenda kutemeshwa kiazi cha Moto!!
 

siku ukiwa nazo hasira zitaisha automatic
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi mbavu zinauma, lol

angalia mabilionea wengi hawajaoa wanawake wenye misambwanda bilgate hadi Mengi angalia na hao dre
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bora umekuwa mkweli
 
Kwanini aache vitu walivoshirikiana naye 24 year's eti kisa tamaa, kwani huyo mama hamna alichofanya?
Watu watengane kwa uzuri au ubaya lazima wagawane vitu
 
Hata nyie mna kero kubwa Sana Kuna wanawake wengine wameanza chini mkipata hela mnakimbia wake zenu, na ku enjoy na vimada.
So hyo tabia iko kila corner regardless ya jinsia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu ana hasira hasira jua hana hela. Angekuwa na hela si naenda zangu Bucket tu kuvinjari akili

bora umekuwa mkweli maana wengine angejitunisha anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…