Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Wengi TU bro.hasa niwaonao ktka Yale maisha ya Kati na wasio wa uswahilini....siongelei AILA ya watu wa kuishi mbagala ama tandaleunawafahamu watu wangapi ambao wana 40 na bado hawajaoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi TU bro.hasa niwaonao ktka Yale maisha ya Kati na wasio wa uswahilini....siongelei AILA ya watu wa kuishi mbagala ama tandaleunawafahamu watu wangapi ambao wana 40 na bado hawajaoa?
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...Basi mkuu tumekusikia.
Tutaacha.
Lakini naomba nikuulize akaunt inasoma au umendika tu?
Ndio maana mond haoi ameshaona mbali ... Nasema tena Kama una pesa wewe chapa mademu usioe.Huyo wa kujitoa kuachana nae ni ngumu sana..... Kuna wale wakupretend akiona upepo unekukalia vizuri anawahi kujifanya anapambana na wewe kumbe kishaona upepo.....
Dre katoboa muda sana ila ndio alikuwa anakuja juu.....
Ni kama tanasha kumng'ang'ania diamond muda huu unadhani ile mimba amejishikisha ili iwaje...
Andre Young anaenda kutemeshwa kiazi cha Moto!!Mke wa producer nguli na mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr.Dre ameomba talaka baada ya kuishi wote takribani miaka 24 kwenye ndoa. Iwapo mahakama itaamuru waachane, basi mwana mama Nicole Young atapata nusu ya utajiri wa Dr.Dre unaokadiriwa kuwa takribani dola milioni Mia nane (800$M) kwa ratings za mwaka 2019.View attachment 1493339
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi mbavu zinauma, lol
Kwenye mjadala huu kulala chini ni alama ya kuanzia chiniMkuu, Dre aliwahi kulala chini kweli?
No movies,no music,he's just shaking his black ass around in a now defunc "Reality Show"..ambapo kwenye movies kwa miaka aliyopo huyu mtu,50cent is rounding him like 1,000,000 times!What happened to ice T?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bora umekuwa mkweliNa stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...
Aaaaah me sijui kama zitaishasiku ukiwa nazo hasira zitaisha automatic
Ila demu kisu wacha tu jamaa anase
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu ana hasira hasira jua hana hela. Angekuwa na hela si naenda zangu Bucket tu kuvinjari akili[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bora umekuwa mkweli
Misambwanda mnapenda tu nyie maskin [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini aache vitu walivoshirikiana naye 24 year's eti kisa tamaa, kwani huyo mama hamna alichofanya?Hivi umesoma vizuri au..?! Huyo mwanamke kama ametengana kwa nia nzuri si amuachie jamaa utajiri mbona anadai mpunga. Acheni usanii bana nyie mtu akishakuwa na mali lengo lenu la kumpurusa linaanza.....
Kyln yule pale anajifanya alimpenda mengi hadi basi ila ukimtazama usoni unaona unafiki mtupu.
Wanawake mnatamaa period.... Labda wewe uwe wa tofauti ila wengi mpo hivyo...
Hata nyie mna kero kubwa Sana Kuna wanawake wengine wameanza chini mkipata hela mnakimbia wake zenu, na ku enjoy na vimada.We unasema tu hauwajui vizuri wanawake wenzako tuulize sisi tunaokutana nao na shida wanazoleta. Diamond unaona hadi leo haoi anatia mimba tu unadhani hapendi kuwa na mwanamke wa kueleweka....?!
Kinachomsaidia diamond hadi leo yupo vizuri ni ulinzi wa mama yake mzazi pale kaweka ulinzi. Wakileta mazoea anawabalasa......walikuwa wapi wakati hana kitu leo wanajifanya wanampenda nusu ya kufa....
[emoji23][emoji23]Misambwanda mnapenda tu nyie maskin [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila demu kisu wacha tu jamaa anase
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona mtu ana hasira hasira jua hana hela. Angekuwa na hela si naenda zangu Bucket tu kuvinjari akili
Kapo potabohupendi chura maana naona dada hata hips hana