Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Basi mkuu tumekusikia.
Tutaacha.

Lakini naomba nikuulize akaunt inasoma au umendika tu?
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...
 
Huyo wa kujitoa kuachana nae ni ngumu sana..... Kuna wale wakupretend akiona upepo unekukalia vizuri anawahi kujifanya anapambana na wewe kumbe kishaona upepo.....

Dre katoboa muda sana ila ndio alikuwa anakuja juu.....

Ni kama tanasha kumng'ang'ania diamond muda huu unadhani ile mimba amejishikisha ili iwaje...
Ndio maana mond haoi ameshaona mbali ... Nasema tena Kama una pesa wewe chapa mademu usioe.
 
Mke wa producer nguli na mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr.Dre ameomba talaka baada ya kuishi wote takribani miaka 24 kwenye ndoa. Iwapo mahakama itaamuru waachane, basi mwana mama Nicole Young atapata nusu ya utajiri wa Dr.Dre unaokadiriwa kuwa takribani dola milioni Mia nane (800$M) kwa ratings za mwaka 2019.View attachment 1493339
Andre Young anaenda kutemeshwa kiazi cha Moto!!
 
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...

siku ukiwa nazo hasira zitaisha automatic
 
IMG-20200630-WA0019.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi mbavu zinauma, lol

angalia mabilionea wengi hawajaoa wanawake wenye misambwanda bilgate hadi Mengi angalia na hao dre
 
Na stress za life la magufuri nazo zinachangia tunatapika nyongo....account ina 48tsh......soma vizuri shillingi 48 yaani hajafika hata shillingi hamsini..... Hapa nakuwaje na utulivu zaidi ya kuwa na hasira kuwatolea hasira hawa wadada wenye tamaa...
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bora umekuwa mkweli
 
Hivi umesoma vizuri au..?! Huyo mwanamke kama ametengana kwa nia nzuri si amuachie jamaa utajiri mbona anadai mpunga. Acheni usanii bana nyie mtu akishakuwa na mali lengo lenu la kumpurusa linaanza.....

Kyln yule pale anajifanya alimpenda mengi hadi basi ila ukimtazama usoni unaona unafiki mtupu.

Wanawake mnatamaa period.... Labda wewe uwe wa tofauti ila wengi mpo hivyo...
Kwanini aache vitu walivoshirikiana naye 24 year's eti kisa tamaa, kwani huyo mama hamna alichofanya?
Watu watengane kwa uzuri au ubaya lazima wagawane vitu
 
We unasema tu hauwajui vizuri wanawake wenzako tuulize sisi tunaokutana nao na shida wanazoleta. Diamond unaona hadi leo haoi anatia mimba tu unadhani hapendi kuwa na mwanamke wa kueleweka....?!

Kinachomsaidia diamond hadi leo yupo vizuri ni ulinzi wa mama yake mzazi pale kaweka ulinzi. Wakileta mazoea anawabalasa......walikuwa wapi wakati hana kitu leo wanajifanya wanampenda nusu ya kufa....
Hata nyie mna kero kubwa Sana Kuna wanawake wengine wameanza chini mkipata hela mnakimbia wake zenu, na ku enjoy na vimada.
So hyo tabia iko kila corner regardless ya jinsia
 
Back
Top Bottom