Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Miaka 24 wanaachana!!.. upuuzi was ndoa huu.
Ila sishangai mtaani kwetu Kuna wana ndoa wameachana wakiwa na vitukuu Ila tofauti Ni hapo kwenye mijihela
Nimeshuhudia Wana ndoa wazee wanaacha nilishangaa sana
 
Makenzie saivi hizo 38bn$ zinepanda baada stock za amazon ku rise up ana around 50b$

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakat kanye anamchumbia kim .kim alikua na mkwanja kuliko kanye...labda useme lingne
Na Kim ame support Sana Kanye kipindi Hali si nzuri baada ya Kim Kardashian kuanzisha kimoji chake na hela iliyo patikana akamu boost Kanye USD 51 kwenye hyo Yeezy yake
 
Hahahahah hata Mimi Nina dreams za kuipooza hii rangi yangu nyeusi ""tiii" niliyonayo kwa mzungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sometimes namuelewa sana diddy ana point fulani ya msingi kwenye hizi ishu japo anaonekana mzinzi

No way out Sheria za Us zinawakata maini sana wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah Kuna life kidume ukiwa nalo hupaswi kuoa wewe n kuzaa na kula Bata Kama Didy, 50 cent au Floyd Maywether

Si unakumbuka eboue alichofanywa na Mke wake mpaka kuanza kulala mitaani.
 
Mimi mwenyewe nilishangaa eti..alafu Bora kuachana kimyakimya..wengine wanadundana kabisa..khaa!!
Hao wameachana kabisa na talaka Hadi vikao vya usuluishi ilishindikana na yote ni baada ya mzee kustaafu na kumalizwa hela na kimada, hizi ndoa hizi loh
 
Mbona wapo wazungu wanaoa wanawake Weusi, Ni machaguo ya mtu tu. Wabongo wabaguzi halafu ndio wanaaongoza kulialia eti wanabaguliwa
Hapa si mnalia kuwa Wahindi hawapendi weusi waoe watoto wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…