Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Na mnyamwez alishawahi oa si unakumbuka karibuniLabda ndio maana Sean Combs hataki mahusiano ya ndoa.
Yeye ni mzee wa chapa ilale
Je yule wa Stephen Curry,is she white?Uliowataja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mnyamwez alishawahi oa si unakumbuka karibuniLabda ndio maana Sean Combs hataki mahusiano ya ndoa.
Yeye ni mzee wa chapa ilale
Je yule wa Stephen Curry,is she white?Uliowataja
Huwa sometimes namuelewa sana diddy ana point fulani ya msingi kwenye hizi ishu japo anaonekana mzinziLabda ndio maana Sean Combs hataki mahusiano ya ndoa.
Yeye ni mzee wa chapa ilale
Kim Kardashian hataki talaka au ? 😂😂😂 Hivi 50 cent ana mke?Kanye West na kampuni ya Yeezy anakuja kwa Kasi kuchukua hiyo namba 1
Nimeshuhudia Wana ndoa wazee wanaacha nilishangaa sanaMiaka 24 wanaachana!!.. upuuzi was ndoa huu.
Ila sishangai mtaani kwetu Kuna wana ndoa wameachana wakiwa na vitukuu Ila tofauti Ni hapo kwenye mijihela
Kardashians wao wako na swagger za kimkakati...mwangalie mama yao...dude it's deep down their chromosomal nuclear strands😂😂Sio ajabu puff "didy" Hana habari kabisa na kuoa
Another looser will be Kanye west i see it that kadashians wanamvutia kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Makenzie saivi hizo 38bn$ zinepanda baada stock za amazon ku rise up ana around 50b$Jeff Bezos mwaka Jana alipeana taraka na Mke wake Mackenzie na Mke wake akapewa Dola Bilion 38 za utajiri wa Bezos lakini mwamba bado Yuko namba Moja ya wanadamu matajiri dunian.
Hivi tunavyoongea Mackenzie Yuko top 5 ya wanamke matajiri duniani ...
Dre akomae tu. Maisha Ni kuchagua na kupanga. View attachment 1493381
Na Kim ame support Sana Kanye kipindi Hali si nzuri baada ya Kim Kardashian kuanzisha kimoji chake na hela iliyo patikana akamu boost Kanye USD 51 kwenye hyo Yeezy yakeWakat kanye anamchumbia kim .kim alikua na mkwanja kuliko kanye...labda useme lingne
50 cent Hana MKE ila ana watoto wawili kwa mama wawili tofauti.Kim Kardashian hataki talaka au ? [emoji23][emoji23][emoji23] Hivi 50 cent ana mke?
Mimi mwenyewe nilishangaa eti..alafu Bora kuachana kimyakimya..wengine wanadundana kabisa..khaa!!Nimeshuhudia Wana ndoa wazee wanaacha nilishangaa sana
Ila Djimon Hounsou ndio mtabe aisee. Kama alimzalisha Kimora Lee Simmons? Halafu alivokua mnaa akampeleka dogo mpaka kijijini kwao Benin akamwambia acha umama hii ndio origin yako. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1493431View attachment 1493432View attachment 1493433
Hahahahah hata Mimi Nina dreams za kuipooza hii rangi yangu nyeusi ""tiii" niliyonayo kwa mzungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha dah wewe mrembo hata usipokua na hela mzungu unamdaka tu ,kuwadi mange.
Kuishi sana majuu wanajikuta na kaugonjwa ka kupenda watoto shombe shombe. Mtu kama sadio mane ili kuikimbia rangi yake isienee kwa wanae anaoa kazungu kanamletea vitoto vizungu.
Kanye nae kadaka ka kim kake,jay z kadaka kachotara bey,kobe alidaka mzungu wake,pogba ana kazungu list ndefuuu
Hawa si walishaacha namuona kimora Lee ana kibabu Cha kizunguIla Djimon Hounsou ndio mtabe aisee. Kama alimzalisha Kimora Lee Simmons? Halafu alivokua mnaa akampeleka dogo mpaka kijijini kwao Benin akamwambia acha umama hii ndio origin yako. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1493431View attachment 1493432View attachment 1493433
Yaah Kuna life kidume ukiwa nalo hupaswi kuoa wewe n kuzaa na kula Bata Kama Didy, 50 cent au Floyd MaywetherHuwa sometimes namuelewa sana diddy ana point fulani ya msingi kwenye hizi ishu japo anaonekana mzinzi
No way out Sheria za Us zinawakata maini sana wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha mama wa mipango huyo...Hawa si walishaacha namuona kimora Lee ana kibabu Cha kizungu
Kama hupati amani hata iwe miaka 50, ni kuachana tu
Hao wameachana kabisa na talaka Hadi vikao vya usuluishi ilishindikana na yote ni baada ya mzee kustaafu na kumalizwa hela na kimada, hizi ndoa hizi lohMimi mwenyewe nilishangaa eti..alafu Bora kuachana kimyakimya..wengine wanadundana kabisa..khaa!!
Halafu hufata wenye hela tu.Ha ha ha mama wa mipango huyo...
Tameka 'tinny" nahisi mamake ana uchotara ndio maana yeye anatoka mweupe sanaHivi Yule mke wa Clifford Harris (T.I) hua ni black kweli? Halafu amekaa utafkiri porn actress
Maria Carey Ni chotara she ain't a white babake Ni black kabisa mama ndio mzunguMzungu yupo wapi hapo unamjua vzuri Mariah Carey km ni mtu mweusi ndio itakuwa huyo mke Dr. dre...
Mbona wapo wazungu wanaoa wanawake Weusi, Ni machaguo ya mtu tu. Wabongo wabaguzi halafu ndio wanaaongoza kulialia eti wanabaguliwaDre punguani sana aiseee
Linaenda kuoa white women!
Suge alishasema Dre wanted so bad to be a whiteman,Suge kamwambia,huwezi kua,labda wanao wanaweza kua kwa asilimia fulani iwapo utaoa mwanamke mweupe...
The nigga did that shit!
Plus this weak ass nigga stole this white broad from another stupid monkey nigga NBA baller Sedale Threatt,another black color hating monkey nigga!
Sedale Threatt was so stupid kiasi kwamba he fathered more than 14 kids around!
Dre,such a loser!