Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Diddy nafikiri alishtukia mchezo kwa Jenifer Lopez maana aliachwa hivi hivi anaona maana alioza pale na nadhani ilibaki kidogo tu atangaze ndoa

Jenifer akampiga hela na umaarufu akaachwa solemba .

Kim porter kamvumila sana jamaa akiamini atazawadiwa ndoa jamaa kaweka kavu Hana hio habari

Cassie nae vile vile diddy angezubaa kidogo naamini Cassie angemliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana dada wawatu kategaaa wee ndoa jamaa kakaza ikabidi sister wa watu aachie manyanga mwenyewe [emoji3][emoji3]

Ndio hapo Diddy kutambua kuwa angezubaa angekuwa lofa mazjma

Siiku hizi kawakusanya wanae wote wanakaa jumba moja anawasapoti Yuko bize na wanae na self love Hadi kujiita Sean love Combs

Ila Kama hajawa mpiga puli Basi atakuwa anawala Instagram model kimyakimya[emoji3][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu Floyd mayweather naona mjanja japo hajaenda shule
 
I second you on that, I know alot of niccas ambao previously they had wealth and fame and decided to marry white women. Kilichokuja kuwatokea mbeleni aisee wanatia huruma. Mzungu ain't got no tendency yakuishi na a broke-ass nicca
I second you....
Story ya Emmanuel Ebue mchezaji wa zamani wa arsenal aliangukia pua mbaya kabisa baada ya kuachana na mkewe mzungu.....
Infact alinyang'anywa karibu kila kitu
 
Ulitaka wagawane kwa ratio ipi mkuu

Wangari mimi naongelea hii issue in general,sio kuhusu Dr. Dre tu. Hizi sheria mara nyingi zinatukandamiza wanaume, na ndio maana nawaambia wenzangu tuwe makini. From the scratch mnawekana wazi, what we can do is to help each other, lakini chako chako na changu ni changu.
 
Kugawana Mali mkuu ni haki ya kila mtu!..sema mna kaubinafsi
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake dada. Ubinafsi uko pande zote mbili. Anasubiri mpaka nimewin Jackpot ndio anataka devorce halafu twende pasu kwa pasu. Hiyo kwangu mimi ni big No. Kwenye 10 natoa 1.5 fair enough. Tusitaniane kwenye mkwanja.
 
Baba ukipata 10 jua ni 5@!..weee acha kbs..ntakata rufaa had kieleweke🤭
 
Inasemekana dre ni punga, kama ni kweli hana cha kupoteza, mama ameplay cover for so long, now it’s payback.
 
Diddy nafikiri alishtukia mchezo kwa Jenifer Lopez maana aliachwa hivi hivi anaona maana alioza pale na nadhani ilibaki kidogo tu atangaze ndoa

Jenifer akampiga hela na umaarufu akaachwa solemba .

Kim porter kamvumila sana jamaa akiamini atazawadiwa ndoa jamaa kaweka kavu Hana hio habari

Cassie nae vile vile diddy angezubaa kidogo naamini Cassie angemliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana dada wawatu kategaaa wee ndoa jamaa kakaza ikabidi sister wa watu aachie manyanga mwenyewe [emoji3][emoji3]

Ndio hapo Diddy kutambua kuwa angezubaa angekuwa lofa mazjma

Siiku hizi kawakusanya wanae wote wanakaa jumba moja anawasapoti Yuko bize na wanae na self love Hadi kujiita Sean love Combs

Ila Kama hajawa mpiga puli Basi atakuwa anawala Instagram model kimyakimya[emoji3][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
Didy ana mademu kibao, puli ya nin?

Yule mhuni sana sana, ndoa yenyewe haiwezi hata kiduchu
 
Hizi sheria ni za kijinga sana. Sometimes kuna haja ya kuwekeana makubaliano mwanzoni, kwamba mm na ww ni forever, ikitokea tumeachana basi kila mmoja anabaki na vilivyo vyake.
Indeed
 
kwa U.S ukishakuwa multi millionaire ni risk sana kuoa.unaikumbuka ile case ya Simpson
Nikiwa mult millionaire nitaishi kama didy tu .. Naona ili iweje sasa

Na pesa ninazo ..ninauwezo wa kupata papuchi yoyote niitakayo
 
Back
Top Bottom