Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Akihojiwa na Katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,Dk Mwaka amesema kwamba ndoa yake mpaka sasa haijavunjwa kwa sababu Sheikh wa mkoa hana mamlaka ya kuvunja ndoa bali Kadhi.

Mashauri ya ndoa hushughulikiwa na kadhi kuanzia ngazi ya kata,wilaya,mkoa na Taifa,hivyo anahoji huyo Sheikh katoa wapi mamlaka ya kuvunja ndoa?

Huku akiwa ameambatana na mkewe,Dk Mwaka alisema kwamba kama huyo Sheikh angekuwa smart angalau angelipeleka kwa Kadhi ndio baadae atangaze baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa hukumu,lakini he was not that smart.

Aliendelea kuhoji,hilo baraza lililiovunja ndoa yangu ni lini liliwahi kunisulihisha Mimi na mke wangu?Ndoa huvunjwa baada ya mashauri kufanyika kwanza,wakishindwa shauri hupelekwa kwa Kadhi ambae nae baada ya kutusikiliza wote ndio hutoa hukumu..

Kwahio hili baraza halina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote,mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama ya Kadhi baada ya jitihada za kusuluhisha kushindikana,huko nako bado sijawahi kuitwa japo mke wangu alipeleka shauri.

Je utaratibu ukoje wadau?
Anahofu mtalaka atakuja na za ndani kbs kuhusu Jogoo kugoma kupanda mtungi licha ya utabibu wake wote!!!
 
Akihojiwa na Katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM,Dk Mwaka amesema kwamba ndoa yake mpaka sasa haijavunjwa kwa sababu Sheikh wa mkoa hana mamlaka ya kuvunja ndoa bali Kadhi.

Mashauri ya ndoa hushughulikiwa na kadhi kuanzia ngazi ya kata,wilaya,mkoa na Taifa,hivyo anahoji huyo Sheikh katoa wapi mamlaka ya kuvunja ndoa?

Huku akiwa ameambatana na mkewe,Dk Mwaka alisema kwamba kama huyo Sheikh angekuwa smart angalau angelipeleka kwa Kadhi ndio baadae atangaze baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa hukumu,lakini he was not that smart.

Aliendelea kuhoji,hilo baraza lililiovunja ndoa yangu ni lini liliwahi kunisulihisha Mimi na mke wangu?Ndoa huvunjwa baada ya mashauri kufanyika kwanza,wakishindwa shauri hupelekwa kwa Kadhi ambae nae baada ya kutusikiliza wote ndio hutoa hukumu..

Kwahio hili baraza halina mamlaka ya kuvunja ndoa yoyote,mwenye mamlaka ya kuvunja ndoa ni Mahakama ya Kadhi baada ya jitihada za kusuluhisha kushindikana,huko nako bado sijawahi kuitwa japo mke wangu alipeleka shauri.

Je utaratibu ukoje wadau?
Yupo sahihi, ila amekosea kidogo kuwa KWA MUJIBU WA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA YA MWAKA 1971 MAHAKAMA TU NDIO INA MAMLAKA NA UWEZO WA KUVUNJA NDOA NA KUTOA CHETI CHA TALAKA BAADA YA JARIBIO LA BARAZA LA USULUISHI KUSHINDWA KUSULUISHA. HIVYO AKIENDA MAHAKAMANI BADO NDOA YAKE NI HALALI
 
Na hilo jambo sijui kwa nini shehe analishadadia ila shehe ajue mahakama ndo ya mwisho kwenye maamuzi sio shehe

Yote kwa yote namuombea wa Dr. Mwaka aishinde hiyo vita

wahuni wale

Ila nimependa Dr. Ana mijengo South Africa big up
 
wavaa kobazi walishawi kuvunja ndoa ya mshikaji wangu kule tanga.
Yani na msindikiza kesi ya talaka anaamulia sheik tena mwanaume mzima anakazia talaka mbele ya mama mkwe. Bahati nzuri kesi ilikuwa siyo yangu nikatoka nje ya ofisi kufata bia ya kilimanjaro nikakuta soda za anjari nilikasirika.
Anjari kumbe bado zipo , daah ninekunywa Sana nikiwa Galanos high school nilikuwa skosi vigodoro pamoja na mwanangu toto id Mzee wa temeke
 
Back
Top Bottom