Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Anahofu mtalaka atakuja na za ndani kbs kuhusu Jogoo kugoma kupanda mtungi licha ya utabibu wake wote!!!
 
Yupo sahihi, ila amekosea kidogo kuwa KWA MUJIBU WA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA YA MWAKA 1971 MAHAKAMA TU NDIO INA MAMLAKA NA UWEZO WA KUVUNJA NDOA NA KUTOA CHETI CHA TALAKA BAADA YA JARIBIO LA BARAZA LA USULUISHI KUSHINDWA KUSULUISHA. HIVYO AKIENDA MAHAKAMANI BADO NDOA YAKE NI HALALI
 
Na hilo jambo sijui kwa nini shehe analishadadia ila shehe ajue mahakama ndo ya mwisho kwenye maamuzi sio shehe

Yote kwa yote namuombea wa Dr. Mwaka aishinde hiyo vita

wahuni wale

Ila nimependa Dr. Ana mijengo South Africa big up
 
Anjari kumbe bado zipo , daah ninekunywa Sana nikiwa Galanos high school nilikuwa skosi vigodoro pamoja na mwanangu toto id Mzee wa temeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…