Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
masiala ayo😅😂Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.
Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza
Shehe akawa hana ujanja
Waganga hao wa kuandika wanagombana sasa wewe na mimi ingilia maugomvi yasiyotuhusu.Hii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
Amloge nani mwaka mwenyewe ni mganga mzuri tu wa kuandika..hapo ngoma drookwamba atalogwa ?
Inaonekana mwaka ni mkorofi sana maana hamalizagi issuesHii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
Watu wameshamsahau Tundu LisuHii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
Kabla hajamzungumzia Shehe ,, ilitakiwa ajue kua mke wake ndiye aliyeomba talaka . So anachotakiwa ni kudeal na mke wake kwanza , kwani Shehe kaamka tu na kwenda kuvunja ndoa ....Hii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .
Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
kikubwa kuwa kiongozi wa dini, haina maana ni utakatifu.
Na hapo utakuta ccm wamemuweka hapo
Uko nyuma mno !Kasema wapi??kakwambia wewe?? Tupunguze uzushi Dk mwaka kachagua kuyamaliza chini kwa chini bila Mitandao
Mahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,Na hilo jambo sijui kwa nini shehe analishadadia ila shehe ajue mahakama ndo ya mwisho kwenye maamuzi sio shehe
Yote kwa yote namuombea wa Dr. Mwaka aishinde hiyo vita
wahuni wale
Ila nimependa Dr. Ana mijengo South Africa big up
Wajanja ndio ugali waoWajinga ndio waliwao
Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.
Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza
Shehe akawa hana ujanja
Mahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,
Uislam umeeleza wazi kabisa kwamba kama utashindwa kumhudumia na kumtimizia mkeo haja zake za kindoa kwa muda mrefu ndoa inavunjwa.Mwanamke hataki ndoa na ndio kaitaka talaka , aache kulaumu wengine
Ninemsikia clouds anasema ameshaongeza mwingine, baada ya ndoa na huyu kulega lega akaamua kuongeza chombo kipya..😂😂😂Imemuuma sana kuachwa badala ya yeye kuacha daah. Toka kutamba ndoa ya wake watatu mpaka kubakiwa na mke mmoja