Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.

Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza

Shehe akawa hana ujanja
masiala ayo😅😂
 
Hii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .

Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
Waganga hao wa kuandika wanagombana sasa wewe na mimi ingilia maugomvi yasiyotuhusu.
 
Hii ni baada ya kupinga kamati ya Mashehe wa BAKWATA (aliowaita wahuni) kuvunja ndoa yake kienyeji .

Amedai binafsi ana ugomvi wa siku nyingi na Shehe wa Mkoa wa DSM , kwahiyo hana imani naye .
Kabla hajamzungumzia Shehe ,, ilitakiwa ajue kua mke wake ndiye aliyeomba talaka . So anachotakiwa ni kudeal na mke wake kwanza , kwani Shehe kaamka tu na kwenda kuvunja ndoa ....
 
kikubwa kuwa kiongozi wa dini, haina maana ni utakatifu.
Na hapo utakuta ccm wamemuweka hapo
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Na hilo jambo sijui kwa nini shehe analishadadia ila shehe ajue mahakama ndo ya mwisho kwenye maamuzi sio shehe

Yote kwa yote namuombea wa Dr. Mwaka aishinde hiyo vita

wahuni wale

Ila nimependa Dr. Ana mijengo South Africa big up
Mahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,
 
Usikute shehe anajisevia huyo mtalaka.
Kuna wale mashehe waliitwa kwa sheikh wa mkoa wa daslam wajieleze kuwa kwa nini walishiriki ibada ya nabii wa mchongo Geo Davie.

Wale mashehe wakadai waliamka asubuhi wakajikuta wako Arusha bila kujijua wakajikuta jioni wamerudi Dar wanadai walipelekwa kwa nguvu za giza

Shehe akawa hana ujanja

Kweli walijibu hivyo?
 
Mahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,

Mkuu unaelewa hatua za kusajili na kuvunja ndoa kwa mujibu wa sheria zetu? Iwe imefungwa kidini, kijadi au bomani? Ndoa zote zinafungwa chini ya mwamvuli mkubwa wa Sheria za nchi Mzee…

Unaelewa lolote juu ya baraza la usuluhishi kabla ya talaka? Shikilia maoni usiongee ukapitiliza!
 
Mwanamke hataki ndoa na ndio kaitaka talaka , aache kulaumu wengine
Uislam umeeleza wazi kabisa kwamba kama utashindwa kumhudumia na kumtimizia mkeo haja zake za kindoa kwa muda mrefu ndoa inavunjwa.

Sasa huyo mganga mwaka ametelekeza mwanamke mwaka mzima ,
Kimwili na matunzo mfano chakula ,tendo la ndoa,
Sasa mwanamke sio binadamu?

Kwa kifupi mganga Mwaka ndy alimuacha mke siku nyingi na akaamua kuoa mke wa 3..

Atulie Sheria za Dini zifanye Kazi.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom