Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Watanzania nisaidieni, Hivi ndoa ambayo inahusiana na Hisia na upendo, unatafutaje haki kwa watu? This is rubbish kabisa, Mwanamke hakutaki, wewe unalazimisha nini?
kama umemsikiliza vizuri Mwaka, kasema yeye hana haja na ndoa ila amehoji endapo sheki wa Mkoa na baraza la wazee wanayo mamlaka ya kuvunja ndoa yake
 
Usikaze kichwa, muulize ulimquote hayo mabaraza yanafanyaje kazi na utaratibu wa kupata talaka upoje?
Kifupi, Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka na sheikh wa mkoa alitakiwa ajitoe kwenye hii kesi kutokana na ugomvi alionao na Dr. Mwaka.
 
Sawasawa
 
Mwaka msanii sana, washatosana na mkewe kitambo lakini anakomaa kutaka kumkomoa huyo dada kisa kutaka mwanamke arudishe kila alimchomgharamikia...

Alimpa mali kwasababu alikuwa anapata utelezi na tulizo la moyo ,bi mdashi alijitoa kumpetipeti na kupengewa "kamasi" kwenye kipochi manyoya! kwahiyo na yeye mwaka alipiziwe "kupengewa kamasi" ndipo arudishiwe mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…