Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Watanzania nisaidieni, Hivi ndoa ambayo inahusiana na Hisia na upendo, unatafutaje haki kwa watu? This is rubbish kabisa, Mwanamke hakutaki, wewe unalazimisha nini?
kama umemsikiliza vizuri Mwaka, kasema yeye hana haja na ndoa ila amehoji endapo sheki wa Mkoa na baraza la wazee wanayo mamlaka ya kuvunja ndoa yake
 
Hivyo vyombo vyote unavyovisema sijui baraza la usuluhishi huku vipo,, na kuna miongozo inafuatwa kabla ya yote,, hicho kitendo cha ndoa kuvunjwa ni kitendo cha mwisho kabisa baada ya kushindikana kila kitu, na kwakuwa wahusika ni binaadamu,, na kawaida ya binaadamu kama alivyo mfano wa huyo dada akichoka kuishi na mume/mke inakuwa basi, hapo ndoa inavunjwa,, na hata huko unakosema kwenye mahakama za kiserikali mara nyingi ukipeleka kesi hizi za ndoa hasa za kiislam, wanawaambia waende kwenye mabaraza ya usuluhishi ndani ya mahakama ya kadhi,,
Usikaze kichwa, muulize ulimquote hayo mabaraza yanafanyaje kazi na utaratibu wa kupata talaka upoje?
Kifupi, Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka na sheikh wa mkoa alitakiwa ajitoe kwenye hii kesi kutokana na ugomvi alionao na Dr. Mwaka.
 
Yupo sahihi, ila amekosea kidogo kuwa KWA MUJIBU WA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA YA MWAKA 1971 MAHAKAMA TU NDIO INA MAMLAKA NA UWEZO WA KUVUNJA NDOA NA KUTOA CHETI CHA TALAKA BAADA YA JARIBIO LA BARAZA LA USULUISHI KUSHINDWA KUSULUISHA. HIVYO AKIENDA MAHAKAMANI BADO NDOA YAKE NI HALALI
Sawasawa
 
Mwaka msanii sana, washatosana na mkewe kitambo lakini anakomaa kutaka kumkomoa huyo dada kisa kutaka mwanamke arudishe kila alimchomgharamikia...

Alimpa mali kwasababu alikuwa anapata utelezi na tulizo la moyo ,bi mdashi alijitoa kumpetipeti na kupengewa "kamasi" kwenye kipochi manyoya! kwahiyo na yeye mwaka alipiziwe "kupengewa kamasi" ndipo arudishiwe mali zake.
 
Back
Top Bottom