Hizo sio sheria mkuu, ni mkusanyiko wa mila za kiarabu. Tanzania sheria zinaitwa ACT OF PARLIAMENT, AU ZILE AMBAZO ZIMETUNGWA KAMA SUBSIDIARY LEGISLATION.
Hizo unazoziita ni sheria za kidini, maana yake ni za kigeni ziwe zimepitwa na wakati au ziwe current. Nchi yetu ni monist state ambayo sheria yoyote ambayo si ya Tanzania lazima ipelekwe bungeni irasimishwe kwenye sheria zetu.
Wakati sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inatungwa pamoja na maboresho yake, ilijumuisha mila , tamaduni , dini na desturi hivyo kupata sheria moja ambayo ni sawa kwa wote