Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe .

Sizifahamu taratibu za Bakwata , lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao .

Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho
hao ni wasilamu walalamishi talaka anatoa mume sio bakwata
 
Chief hapa hatubishani achana na Maisha ya kwenye ndoto za sheria hizo,Uislamu Una sheria zake kama Dini,Mimi binafsi nimeshaacha mke kwakuwa hatukuwa na tatizo katika kugawana Mali swala letu halijaenda hata bakwata.

Sheria na hatua za kuvunja ndoa zinajulikana zipo wazi upande wetu WA Dini, ndio maana nakwambia hayo mambo yapo kwenye makaratasi Tu chief.

Anyways ni Uhuru wako kuamini au kutoamini.

Naomba niishie hapa.
Ni kwa kuwa huyo mke hakujua tuu, ndoa bado inaendelea kisheria na akienda mahakamani baada ya kupitia Baraza la usuluishi la Kata mahakama inamsikiliza upywa na kutoa haki kama ni kuivunja inaivunja rasmi na kuamua mgawanyo wa Mali za pamoja na malezi ya watoto if any. Kuna baadhi ya ndoa zinakuwa dormant mpaka mwisho na wanandoa wakiamini kwa makosa kuwa ndoa hizo zilikwisha vunjika kumbe sivyo. Kwa mujibu wa sheria talaka mbili, talaka rejea talaka tatu ni NUL AND VOID
 
Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe.

Sizifahamu taratibu za BAKWATA, lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao.

Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho.
huyo mwaka mwaka ni dini gani?
 
Ndoa inamambo mengi sana ndugu zangu kama hujabahatika kuoa basi muombe mungu sana akujalie mwanamke mwenye hekma yote hayo unayaona kwa mke wa dr.mwaka n mwanamke kukosa busara na hekima kukimbilia mitandaoni lengo kimchafua jamaa ni seme tuu kuwa ikinyesha ndio utajua wapi panavuja Leo anatak taraka hadharani lakini kesho atataka warudiano kwa sirii ndivyo walivyo wanapokuwa wanatak kuondoka huondoka kwa kelele na kumwaga Siri zote ila akikaa akaona Mambo yamebuma anaitaji suluhu kwa Siri ili arudi aisee wanawake waonenii tuuu Kama hayajakukuta tema matee chinii
Wanaume wengi mnaupumbavu mwingi mambo yakiwa magumu mnatka mwanamke awe na busara.
 
Ni kwa kuwa huyo mke hakujua tuu, ndoa bado inaendelea kisheria na akienda mahakamani baada ya kupitia Baraza la usuluishi la Kata mahakama inamsikiliza upywa na kutoa haki kama ni kuivunja inaivunja rasmi na kuamua mgawanyo wa Mali za pamoja na malezi ya watoto if any. Kuna baadhi ya ndoa zinakuwa dormant mpaka mwisho na wanandoa wakiamini kwa makosa kuwa ndoa hizo zilikwisha vunjika kumbe sivyo. Kwa mujibu wa sheria talaka mbili, talaka rejea talaka tatu ni NUL AND VOID
Kwa mujibu wa sheria ipi?

Ndoa ifungwe Kwa sheria za Dini ya kiislamu halafu ivunjwe Kwa sheria za kiislamu halafu sheria ya jamhuri isema ndoa IPO? Dah are u serious bro?

Usilazimishe rangi nyeupe kuwa nyeusi Kaka.

Naomba hili swala tuliache kwasababu napoteza Mda kujadiliana na mtu ambaye sio muislamu halafu anatetea sheria zisizo za kiislamu.

Uwe na siku njema chief
 
Huelewi lolote kuhusu sheria ya ndoa zaidi ya kukariri mistari ya dini yako. Tafuta miongoni mwa waumini wenzako waliobahatika kusoma wakufundishe jurisprudence ya sheria ya ndoa ya Tanzania ,historia yake, magumu yake na nguvu zake dhidi ya sheria za kimila na kidini
 
Wakuu

Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.

Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.

Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.

View attachment 2493377
mwaka huyu ni dini gani?
 
Back
Top Bottom