Uonevu mkubwa.. Sasa huyu kajiongezaAngekuwa dr mwaka anataka kumuacha mkewe yaani anatoa talaka yeye ya kumwacha mke wake angeandika tu fasta tu barua tatu za talaka. Ndoa ingekuwa imeshaisha...
Asante kwa kielelezo
Picha hamna ili kuona hilo kundi la wanawake, kwani Wana maslahi gani na hiyo talaka ikitolewa au Kuna mgao wowote?
Siku ukijua dini imewekwa tu hapo geresha ungeogopa sana ndoa..Angekuwa dr mwaka anataka kumuacha mkewe yaani anatoa talaka yeye ya kumwacha mke wake angeandika tu fasta tu barua tatu za talaka. Ndoa ingekuwa imeshaisha
Mwanamke wa kiislamu hajapewa hiyo nguvu ya kuandika talaka. Yeye ni mpaka adai kwa mumewe amuandikie.
Kwenye dini ya uislamu Mwanaume peke yake ndie ana haki ya kuandika talaka
Ila anaweza kuomba talaka kutokana na mazingira Fulani Fulani au kujivua katika hiyo ndoa.Angekuwa dr mwaka anataka kumuacha mkewe yaani anatoa talaka yeye ya kumwacha mke wake angeandika tu fasta tu barua tatu za talaka. Ndoa ingekuwa imeshaisha...
Aiseeeee !!!Ila anaweza kuomba talaka kutokana na mazingira Fulani Fulani au kujivua katika hiyo ndoa.
Kwahiyo hata kama mume hataki kutoa talaka basi kutokana na sababu hizo za msingi viongozi wa Dini wanaweza kuivunja hiyo ndoa
Ndoa katika Uislamu sio adhabu wala kifungo kwani msingi WA ndoa ni upendo na Amani na kupata utulivu,sasa kama hiyo misingi ya kuwepo kwake haipo hiyo ndoa INA maana gani.Aiseeeee !!!
Vipi nae Dida na Lord Mayor.
Huwezi kwenda mahakamani Bila kupitia bakwata.Ndoa zinazofungwa kirahisi huvunjika kirahisi. Hata hivyo kama ana ground za ku disolve ndoa aende mahakamani ndio CHOMBO kinachotambuliwa kuvunja ndoa
Hilo "kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu" waliovamia ofisi za BAKWATA wote ni wake zake?Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe .
Sizifahamu taratibu za Bakwata , lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao .
Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho
Huyu dr anajuwa kweli kupoint wanawake [emoji1]
MaariadgeHuwezi kwenda mahakamani Bila kupitia bakwata.
Na ukiona ndoa mpaka unafikia mahakamani basi ujue kuna mgogoro WA Mali na hapo jamhuri ndio inachukua mamlaka yake.
Unamaanisha kufungwa rahisi Kwa maana ya mahari au
Vipi inayofungwa Kwa mahari kubwa halafu kila mtu analala katika chumba chake halafu kutengana hamuwezi matokeo yake wote mnaingia katika zinaa Kwa kila mtu kutafuta Mchepuko.
Umeongea kwa ujasiri Mkuu kana kwamba kifungu Cha 102 Cha sheria ya ndoa ya Tanzania ( Marriage conciliation boards) kimefutwa.Huwezi kwenda mahakamani Bila kupitia bakwata.
Na ukiona ndoa mpaka unafikia mahakamani basi ujue kuna mgogoro WA Mali na hapo jamhuri ndio inachukua mamlaka yake.
Unamaanisha kufungwa rahisi Kwa maana ya mahari au
Vipi inayofungwa Kwa mahari kubwa halafu kila mtu analala katika chumba chake halafu kutengana hamuwezi matokeo yake wote mnaingia katika zinaa Kwa kila mtu kutafuta Mchepuko.
Achana na upuuzi WA hiyo sheria mkuu,Uislamu Una sheria zake, jamhuri inaingia Kati kama kuna migogoro ya kugawana Mali.Maariadge
Umeongea kwa ujasiri Mkuu kana kwamba kifungu Cha 102 Cha sheria ya ndoa ya Tanzania ( Marriage conciliation boards) kimefutwa.
Narudia tena CHOMBO CHENYE MAMLAKA ya kuvunja ndoa Tanzania 🇹🇿 ni mahakama tuu. Na Bakwatwa yaweza kukubalika mahakamani kama Baraza la usuluishi pale tunlitakuwa limesikiliza kwa haki na kuandika certificate mahakamani kuwa wameshindwa kusuluisha na sii kutumia mfumo dume wa mila za kiarabu.
Hizo sio sheria mkuu, ni mkusanyiko wa mila za kiarabu. Tanzania sheria zinaitwa ACT OF PARLIAMENT, AU ZILE AMBAZO ZIMETUNGWA KAMA SUBSIDIARY LEGISLATION.Achana na upuuzi WA hiyo sheria mkuu,Uislamu Una sheria zake, jamhuri inaingia Kati kama kuna migogoro ya kugawana Mali.
We bakia na sheria zako na vifungu vyako
Chief hapa hatubishani achana na Maisha ya kwenye ndoto za sheria hizo,Uislamu Una sheria zake kama Dini,Mimi binafsi nimeshaacha mke kwakuwa hatukuwa na tatizo katika kugawana Mali swala letu halijaenda hata bakwata.Hizo sio sheria mkuu, ni mkusanyiko wa mila za kiarabu. Tanzania sheria zinaitwa ACT OF PARLIAMENT, AU ZILE AMBAZO ZIMETUNGWA KAMA SUBSIDIARY LEGISLATION.
Hizo unazoziita ni sheria za kidini, maana yake ni za kigeni ziwe zimepitwa na wakati au ziwe current. Nchi yetu ni monist state ambayo sheria yoyote ambayo si ya Tanzania lazima ipelekwe bungeni irasimishwe kwenye sheria zetu.
Wakati sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inatungwa pamoja na maboresho yake, ilijumuisha mila , tamaduni , dini na desturi hivyo kupata sheria moja ambayo ni sawa kwa wote
📸📸📷📹🎥Kundi kubwa la wamama waliovalia vazi nadhifu la hijabu huku wakiwa wamefunika nyuso zao kwa Nikabu , limevamia ofisi za Bakwata kwa madai ya kuchoshwa na kupigwa danadana ya kumalizwa kwa mgogoro wa ndoa kati ya Dr Mwaka na Mkewe .
Sizifahamu taratibu za Bakwata , lakini inatuhumiwa kuchelewesha Talaka kati ya wawili hao .
Bali haijajulikana chanzo cha mgogoro huo hadi kufikia kudhalilishana kwa kiwango hicho
Rejea chanzo cha uumbaji Mwanamke katokea mbavuni mwa mwanaume hamuwezi kuwa sawa hata siku moja.Angekuwa dr mwaka anataka kumuacha mkewe yaani anatoa talaka yeye ya kumwacha mke wake angeandika tu fasta tu barua tatu za talaka. Ndoa ingekuwa imeshaisha
Mwanamke wa kiislamu hajapewa hiyo nguvu ya kuandika talaka. Yeye ni mpaka adai kwa mumewe amuandikie.
Kwenye dini ya uislamu Mwanaume peke yake ndie ana haki ya kuandika talaka