Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

hao ni wasilamu walalamishi talaka anatoa mume sio bakwata
 
Ni kwa kuwa huyo mke hakujua tuu, ndoa bado inaendelea kisheria na akienda mahakamani baada ya kupitia Baraza la usuluishi la Kata mahakama inamsikiliza upywa na kutoa haki kama ni kuivunja inaivunja rasmi na kuamua mgawanyo wa Mali za pamoja na malezi ya watoto if any. Kuna baadhi ya ndoa zinakuwa dormant mpaka mwisho na wanandoa wakiamini kwa makosa kuwa ndoa hizo zilikwisha vunjika kumbe sivyo. Kwa mujibu wa sheria talaka mbili, talaka rejea talaka tatu ni NUL AND VOID
 
huyo mwaka mwaka ni dini gani?
 
Wanaume wengi mnaupumbavu mwingi mambo yakiwa magumu mnatka mwanamke awe na busara.
 
Kwa mujibu wa sheria ipi?

Ndoa ifungwe Kwa sheria za Dini ya kiislamu halafu ivunjwe Kwa sheria za kiislamu halafu sheria ya jamhuri isema ndoa IPO? Dah are u serious bro?

Usilazimishe rangi nyeupe kuwa nyeusi Kaka.

Naomba hili swala tuliache kwasababu napoteza Mda kujadiliana na mtu ambaye sio muislamu halafu anatetea sheria zisizo za kiislamu.

Uwe na siku njema chief
 
Huelewi lolote kuhusu sheria ya ndoa zaidi ya kukariri mistari ya dini yako. Tafuta miongoni mwa waumini wenzako waliobahatika kusoma wakufundishe jurisprudence ya sheria ya ndoa ya Tanzania ,historia yake, magumu yake na nguvu zake dhidi ya sheria za kimila na kidini
 
mwaka huyu ni dini gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…