marehem x
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 513
- 792
Wakuu
Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto.
Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye kusomesha watoto kashindwa eti kisa arudiane na mke ndio atasomesha kumbe nae mwaka akili kisoda.
Wanaume tunasema hatutaki tena mafundisho yake uchwara ya ndoa, maana kwake hayajafanya kazi kwetu itakuaje si atafanya na ndoa zetu zivunjike.
View attachment 2493377
Mwaka wenzio tunaoshea rungu huko na kuyasahau wewe unafanya official ambazo huwez kuzihudumia. Muachie mwanamke bana ajue Mambo yake.
Na bahat mby ya Mwaka Dr wa mchongo Mzee umeingiencha kike maana kumsumbua mwanamke kwenye Sheria huwez. Mzee Wanawake wanatetewa na kama ingekuwa ughaibuni jela ingekuwa upande wa kajamaa haka