TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Historia ya huyu jamaa Juma ni alikuwa mganga wa kienyeji a.k.a witchcraft, baada ya biashara ya waganga kudumaa kukosa wateja miaka ile ya kina dakitari ndodi ndipo baadaye akaibuka kwa nguvu sana.Kwani jamaa ni dokta kweli au jina tu?
Kama unakumbuka alimtibua Kigwangala wkt jamaa akijiita dakitari huku akivaa kile kikoti cha utaalam, kigwa akamvaa kuwa ni tapeli na hana utaalam wowote.
Inshort; alikimbilia nje huko nchi za asia kudadavua kuhusu tiba mbadala ndipo leo unamuona na hizi mbwembwe but before was plain kichwani huyo!.