Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Kwani jamaa ni dokta kweli au jina tu?
Historia ya huyu jamaa Juma ni alikuwa mganga wa kienyeji a.k.a witchcraft, baada ya biashara ya waganga kudumaa kukosa wateja miaka ile ya kina dakitari ndodi ndipo baadaye akaibuka kwa nguvu sana.

Kama unakumbuka alimtibua Kigwangala wkt jamaa akijiita dakitari huku akivaa kile kikoti cha utaalam, kigwa akamvaa kuwa ni tapeli na hana utaalam wowote.

Inshort; alikimbilia nje huko nchi za asia kudadavua kuhusu tiba mbadala ndipo leo unamuona na hizi mbwembwe but before was plain kichwani huyo!.
 
Mahakama inahusika na nini?? Kwani hiyo ndoa ilifungwa mahakamani?? Ndoa ilifungwa msikitini so kama kuna tatizo lolote lile yawapasa kurudi huko huko iliko fungwa ndoa na si mahakamani,, kwa kulifahamu hilo, yule dada ndio maana kakimbikialia bakwata, na ndio maana kuna kipindi waislam walipiga sana kelele wakitaka mahakama ya kadhi, kwa kuwa haiwezekani ndoa afungishe shekhe pembe kuzagila alafu ikiingia mgogoro apelekewe mheshimiwa gwamaka mwakifamba,,
Wewe jamaa si nasikia uko pande mbovu!? Huko una access ya simu!?
 
Huyo n mtu maarufu camera zinamfat usijifananishe nae nakusema anajianka
Anajianika kweli. Kufuatwa sio kigezo cha kuropoka kila kitu. Kuna kazi na maisha.
 
Alimpa mali kwasababu alikuwa anapata utelezi na tulizo la moyo ,bi mdashi alijitoa kumpetipeti na kupengewa "kamasi" kwenye kipochi manyoya! kwahiyo na yeye mwaka alipiziwe "kupengewa kamasi" ndipo arudishiwe mali zake.
Kwa hiyo atafutwe mwamba wa kufanya hiyo kazi ya kumpengea kamasi "tabibu" Mwaka!?
 
Kama Bakwata wana mamlaka ya kutoa vyeti vya ndoa basi mamlaka ya kuvunja ndoa pia wanayo Bakwata. .

Yule doctor Mwaka anajuwa baada ya ndoa kuvunjika kinachofata ni kugawana Mali,

Hicho ndy anakihofia Zaidi lakini sio talaka.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Unaijua sheria ya ndoa wewe ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ndoa haivunjwi kiholela vile bila kusikilizwa pande mbili, msifikiri kisa mtu akisema tu jambo fulani ni kuivunja tu bila uthibitisho. Dini haiendeshwi kama daladala useme kila taratibu unajiwekea.
Ndoa inavunjwa na mtu mmoja tu
Mwaka anatakiwa kukubali kashindwa
 
Ana PhD in Sewage systems ndo mana mke katoka nduki pichu mkononi
Lakini bibie hii taaluma kaivumilia 10yrs probably kapata PHD holders wengine waendeleze alipoishia huyo kijana Mwaka.
All in all bibie Queen Masanja kwa kulumangia bado anafaa, sewer kwa once in a while [emoji39][emoji39] si vibaya.
 
Dunia ina maajabu hii Wanaume siku hizi ndio wanagoma kuachika mfano Manara na Mwaka🤨
😂😂😂Drama za wanaume ambao hawataki kuachika zinafurahishaga sana,, mwingine anakuacha mwnyw tena kwa dhihaka ila badae anaanza vitisho na drama za kusema bado ni mke wangu, fyoko fyoko yani ni vichekesho
 
Usikaze kichwa, muulize ulimquote hayo mabaraza yanafanyaje kazi na utaratibu wa kupata talaka upoje?
Kifupi, Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka na sheikh wa mkoa alitakiwa ajitoe kwenye hii kesi kutokana na ugomvi alionao na Dr. Mwaka.
Anaekaza kichwa ni wewe,,, bakwata wana mamlaka ya kutoa talaka chini ya mahakama ya kadhi,,, sasa ikiwa hivyo ndivyo ya nini kuwekwa hicho chombo,,,
 
😂😂😂Drama za wanaume ambao hawataki kuachika zinafurahishaga sana,, mwingine anakuacha mwnyw tena kwa dhihaka ila badae anaanza vitisho na drama za kusema bado ni mke wangu, fyoko fyoko yani ni vichekesho
Mwaka kafulia, laiti angekua na pesa angeshukuru kupunguziwa mzigo wa mav
 
Motivesheni zote zile alizokuwa anatupatia kuhusu ndoa leo ndoa yake tia maji tia maji anashindwa hata kuiokoa....nmekuja kungua ndoa sio show off wale wote waliofanya show off ndoa zao chaali cha mende
Ni ujuha TU wa huyu Baba na anaona haya kuachwa maana alikua na mbwembwe hasaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka kafulia laiti angekua na pesa angeshukiru kupunguziwa mzigo wa mav
Mkiachwa mnachachawa hakuna cha kufulia, tena mnalia kwa kamasi kabisa live, mi aliniacha kwa mbwembwe nilipopata mtu wa kunioa alilia mbele ya kadamnasi hadharani alimwaga machozi alitambaa lakini ilikuwa too late,, baadhi ya wanaume mna ujinga mwingi
 
Mkiachwa mnachachawa hakuna cha kufulia, tena mnalia kwa kamasi kabisa live, mi aliniacha kwa mbwembwe nilipopata mtu wa kunioa alilia mbele ya kadamnasi hadharani alimwaga machozi alitambaa lakini ilikuwa too late,, baadhi ya wanaume mna ujinga mwingi
Huyo nae boya. Watu tunaombea itokee chance ya kuachana Ila ndo ving'ang'anizi
 
Huyo nae boya. Watu tunaombea itokee chance ya kuachana Ila ndo ving'ang'anizi
Mwaka na manara huwaoni wanavyoweweseka kwa kuachwa, mnakuwaga wagumu hivyo hivyo km wewe lkn huyo unaetamani akuache akikuacha na akakaza kamasi zitakutoka tu
 
Back
Top Bottom