Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome tena inaonekana umekariri sana na hujaeleqa chochote, unafikiri Talaka ni tiketi ya daladala ijitokee tu kiholela. Watu wengi mjini wanakiuka sana haya mamboSio kweli.... Mbona mwanaume akiamka na kuamua kutoa talaka anatoa na inakubaliwa,ila kwa mwanamke kuomba talaka ndo mnasema mpaka pande mbili zikutane!!!!!????kuna kitu hujui kajaribu kujifunza
Lini wametangaza
CHADEMA wanasemaje?Mchana mwema
BAKWATA wametangaza tena kuwa ndoa ya Dr mwaka haija vunjika hii imekaaje ndugu zangu waislamu? Utaratibu upoje? Mbona kama mnafanya mambo kienyeji?
CHADEMA wanasemaje?
Basi wapambane na Kada wao huyo[emoji23][emoji23][emoji23] hawana jambo hata
Huyo shekh wa mkoa ni muhuni Fulani wa mjini na tabia zake za kihuni abaki upande wa uchawa tu,dini ya kiislamu haiendeshwi kihuniMchana mwema
BAKWATA wametangaza tena kuwa ndoa ya Dr mwaka haija vunjika hii imekaaje ndugu zangu waislamu? Utaratibu upoje? Mbona kama mnafanya mambo kienyeji?
Huyo shekh wa mkoa ni muhuni Fulani wa mjini na tabia zake za kihuni abaki upande wa uchawa tu,dini ya kiislamu haiendeshwi kihuni
Sheikh wa mkoa ameumbuka tena nadhani atakua anamkata mke wa Mwaka.
Shekh ubwabwa lini akazijua sheria za ndoa?
Yeye abaki kusifia maccm wenzia na kuvaa mapete yake ya urembo
mambo ya dini awaachie waislamu
Sheikh wa mkoa ameumbuka tena nadhani atakua anamkata mke wa Mwaka.