Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rushayna msukuma.Monica wa Masanja(msukuma)
Queen wa Mwaka(msukuma)
Mke wa Masawe( msukuma) aliyegoma kumzika mumewe bagamoyo
Orodha iendelee....
Tunaona sarakasi zote mwaka huu.Tayari huko tamko lishatolewa kuwa Alhadi na watu wake waliingilia madaraka si yao. Ndoa ile bado ni halaliView attachment 2497261
Kuna ubaya gani. Ikiwa kashaachika. Wacheni nae ale vitu vitamuSheikh wa mkoa ameumbuka tena nadhani atakua anamkata mke wa Mwaka.
Unataka kusema hata hati ya ndoa ya Bakwata haitambuliki?.Nchi haindeshwi Kwa Sheria za dini. Jitambue
Kwanza umeoa?
Wacha upotoshaji.Usikaze kichwa, muulize ulimquote hayo mabaraza yanafanyaje kazi na utaratibu wa kupata talaka upoje?
Kifupi, Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka na sheikh wa mkoa alitakiwa ajitoe kwenye hii kesi kutokana na ugomvi alionao na Dr. Mwaka.
Ila cheti cha ndoa wana mamlaka sio?kama umemsikiliza vizuri Mwaka, kasema yeye hana haja na ndoa ila amehoji endapo sheki wa Mkoa na baraza la wazee wanayo mamlaka ya kuvunja ndoa yake
Utasikilizwaje wakati hutaki kufika kwenye vikao,Ndoa haivunjwi kiholela vile bila kusikilizwa pande mbili, msifikiri kisa mtu akisema tu jambo fulani ni kuivunja tu bila uthibitisho. Dini haiendeshwi kama daladala useme kila taratibu unajiwekea.
Nimekwambia kama hujui kitu nenda kasome vizuri dini uache kukariri, huo uamuzi wa wale Masheikh umeshavunjwa na ndoa Ni halali hivi sasa. Kwanza hawana mamlaka ya kushughulika na masuala hayoUtasikilizwaje wakati hutaki kufika kwenye vikao,
Mwanamke wa watu ana miezi 3 anapigwa kalenda na mwaka hatokei Bakwata.
Mke akitamka mume atoe talaka mara nyingi mazungumzo wanamaliza wenyewe ndani.
Ukiona mke anakupeleka kwenye vyombo vya Sheria maana yake hakuna muafaka..
Mwaka atoe talaka,,hana cha udoctor wa mapenzi wala ndoa.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Kumbe wale Masheikh kazi yao si kuamua hayo masuala, Alhadi alikurupuka na genge lake kuingilia mambo yasoyowahusu kimamlaka kisa ugomvi na MwakaTunaona sarakasi zote mwaka huu.
Yaani mtu atake kuvunia ndoa ya mtu kisa tamaa Ake za kingonoKuna ubaya gani. Ikiwa kashaachika. Wacheni nae ale vitu vitamu
Uhuni wa mwaka upo wapi hapo?Kwanza umeoa?
Isije ikawa nabishana na mtu bado yupo kwa shemeji.
Sheria za kiislam zipo wazi,,
--Ukitelekeza mke kwa kipindi kirefu,
--Usipomtimizia mke tendo la ndoa kwa muda mrefu,
Ndoa inavunjwa.
Ndoa sio kifungo bali ni makubaliano ya Pande mbili especially mke.
Kama mke ameshaona hakuhitaji ana haki ya kuomba talaka.
Na halazimishwi kuishi na mume asiyemtaka.
Dr mwaka kapoteza sifa za kuwa mume baada ya kumtelekeza mke mwaka mzima bila matunzo wala tendo la ndoa,
Huku yeye akiongeza mke mwingiine wa 3.
Hakuna ndoa hapo,,dr Mwaka na genge lake waache uhuni.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Ndoa imevunjwa na Kadhi wa mkoa ,shehe mkuu wa mkoa na mashehe wengine.Uhuni wa mwaka upo wapi hapo?
Mwaka anataka ndoa ivunjwe na kkadhi basi siyo huyo muhuni anayejiita shekh ubwabwa wa mkoa
Ndo maisha. Sema Queen anakimbia kuliwa jicho na Dr anaenda kwa Profesa wa hizo Mbanga. Sijui kakimbia nn Sasa! Bora angetumia kwenye size aliyoizoea.Yaani mtu atake kuvunia ndoa ya mtu kisa tamaa Ake za kingono