Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

Kwa hiyo sheikh alihukumu bila.kusikiliza upande wa pili...

Au alipewa kiasi

Nimewaza tu🚶
 
Shekhe anatuhuma nyingi tu humu na mada nying zilianzianzishwa kwa ajil yake

Nasikia anapenda Sana ngono hasa mimama iliyojaa

Dr awe makini huenda anatombewa
 
Hao ndo wanaume🤣 wanataka mwanamke wa kumtawala ili wamnyanyase shenzi type. Huyo dada hapo hatoachika. Ataendelea kuwa mtumwa hadi afe.
Majanume ya hivi siyapendiii.

Na hayataki ufanye kazi. Mbafff
 
Nakubaliana na mwaka kuwa;
Shek wa Mkoa wa DSM na Baraza lake
wanapaswa wawajibishwe kwa kuingilia mamlaka ya kadhi.

Kwenye hili Mufti Mkuu asisite kabisa kumuondoa ili kurudisha heshima ya chombo cha Baakwata.

BAKWATA ni Muhimu zaidi kuliko shek wa mkoa.
 
Nchi haindeshwi Kwa Sheria za dini. Jitambue
Unataka kusema hata hati ya ndoa ya Bakwata haitambuliki?.
Kama hati ya ndoa inatambulika basi na hata hati ya talaka pia inatambulika na mahakama.

Inchi inatambuwa ndoa za aina 3.
--Serikali
--Mila
--Kidini.
Mradi kuwe na documentation.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Unaijua sheria ya ndoa wewe ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwanza umeoa?
Isije ikawa nabishana na mtu bado yupo kwa shemeji.

Sheria za kiislam zipo wazi,,

--Ukitelekeza mke kwa kipindi kirefu,
--Usipomtimizia mke tendo la ndoa kwa muda mrefu,

Ndoa inavunjwa.
Ndoa sio kifungo bali ni makubaliano ya Pande mbili especially mke.

Kama mke ameshaona hakuhitaji ana haki ya kuomba talaka.
Na halazimishwi kuishi na mume asiyemtaka.

Dr mwaka kapoteza sifa za kuwa mume baada ya kumtelekeza mke mwaka mzima bila matunzo wala tendo la ndoa,
Huku yeye akiongeza mke mwingiine wa 3.

Hakuna ndoa hapo,,dr Mwaka na genge lake waache uhuni.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Usikaze kichwa, muulize ulimquote hayo mabaraza yanafanyaje kazi na utaratibu wa kupata talaka upoje?
Kifupi, Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka na sheikh wa mkoa alitakiwa ajitoe kwenye hii kesi kutokana na ugomvi alionao na Dr. Mwaka.
Wacha upotoshaji.

Bakwata hawana mamlaka ya kutoa talaka lakini wana mamlaka ya kuvunja ndoa.

Ndoa ya mwaka sio halali kwa sasa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
kama umemsikiliza vizuri Mwaka, kasema yeye hana haja na ndoa ila amehoji endapo sheki wa Mkoa na baraza la wazee wanayo mamlaka ya kuvunja ndoa yake
Ila cheti cha ndoa wana mamlaka sio?

Baraza la kiislam (Bakwata) limejumuisha Kadhi wa mkoa na mashehe wengine.

Sasa yeye anasema shehe wa mkoa hana mamlaka amesahau kuwa kwenye kile kikao alikuwapo pia Kadhi mkuu wa mkoa wa Daresalaam,pamoja na mashehe wengine.

Na ndy maana ikawekwa wazi kwamba aende kukata rufaa,,
Na yote kwa yote mke hata akiulizwa akiendelea kusema simtaki mume unapaswa utoe talaka.

Ndoa sio utumwa.

Na kisa cha kufanya maamuzi hayo ni kwamba Mganga Mwaka alikuwa anapiga chenga vikao kadhaa kila akipangiwa pale Bakwata analeta udhuru..
Huku akiendelea kumletea zengwe mtalaka wake kuhusu nyumba .

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Ndoa haivunjwi kiholela vile bila kusikilizwa pande mbili, msifikiri kisa mtu akisema tu jambo fulani ni kuivunja tu bila uthibitisho. Dini haiendeshwi kama daladala useme kila taratibu unajiwekea.
Utasikilizwaje wakati hutaki kufika kwenye vikao,
Mwanamke wa watu ana miezi 3 anapigwa kalenda na mwaka hatokei Bakwata.

Mke akitamka mume atoe talaka mara nyingi mazungumzo wanamaliza wenyewe ndani.

Ukiona mke anakupeleka kwenye vyombo vya Sheria maana yake hakuna muafaka..

Mwaka atoe talaka,,hana cha udoctor wa mapenzi wala ndoa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Utasikilizwaje wakati hutaki kufika kwenye vikao,
Mwanamke wa watu ana miezi 3 anapigwa kalenda na mwaka hatokei Bakwata.

Mke akitamka mume atoe talaka mara nyingi mazungumzo wanamaliza wenyewe ndani.

Ukiona mke anakupeleka kwenye vyombo vya Sheria maana yake hakuna muafaka..

Mwaka atoe talaka,,hana cha udoctor wa mapenzi wala ndoa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nimekwambia kama hujui kitu nenda kasome vizuri dini uache kukariri, huo uamuzi wa wale Masheikh umeshavunjwa na ndoa Ni halali hivi sasa. Kwanza hawana mamlaka ya kushughulika na masuala hayo
 
Kwanza umeoa?
Isije ikawa nabishana na mtu bado yupo kwa shemeji.

Sheria za kiislam zipo wazi,,

--Ukitelekeza mke kwa kipindi kirefu,
--Usipomtimizia mke tendo la ndoa kwa muda mrefu,

Ndoa inavunjwa.
Ndoa sio kifungo bali ni makubaliano ya Pande mbili especially mke.

Kama mke ameshaona hakuhitaji ana haki ya kuomba talaka.
Na halazimishwi kuishi na mume asiyemtaka.

Dr mwaka kapoteza sifa za kuwa mume baada ya kumtelekeza mke mwaka mzima bila matunzo wala tendo la ndoa,
Huku yeye akiongeza mke mwingiine wa 3.

Hakuna ndoa hapo,,dr Mwaka na genge lake waache uhuni.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Uhuni wa mwaka upo wapi hapo?

Mwaka anataka ndoa ivunjwe na kkadhi basi siyo huyo muhuni anayejiita shekh ubwabwa wa mkoa
 
Yaani mtu atake kuvunia ndoa ya mtu kisa tamaa Ake za kingono
Ndo maisha. Sema Queen anakimbia kuliwa jicho na Dr anaenda kwa Profesa wa hizo Mbanga. Sijui kakimbia nn Sasa! Bora angetumia kwenye size aliyoizoea.
 
Back
Top Bottom