Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 885
Nani aliyekwambia kuwa mtu mwenye matatizo kama Slaa anaweza tatua ya wenzake?! Lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole za wenzako.
Angekuwa hana uwezo wa kutatua matatizo wala msingemjadili.Mbona hamumzungumzii Lipumba au wagombea wengine?Halafu unachekesha kweli unapotumia msemo "lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole wenzako".Je yako ni safi wakati unamnyooshea kidole Slaa?Je nyumba ya JK mnayejikomba kwake ni safi?
Kubwa tunaloweza kufanya ni kuwaonea huruma kwa vile mnatumika kama condom: muhimu kabla na wakati wa tendo la ndoa lakini inaonekana uchafu shughuli ikimalizika.Mmmekurupuka kwa wingi ku-join JF ili mjipendekeze kwa JK kwa matarajio ya kukumbukwa baada ya uchaguzi,lakini we are certainly sure baada ya uchaguzi (mtakapobaini kuwa mlikuwa used and abused) mtarejea hapa kulalamikia mgao wa umeme kama si matatizo ya maji au rushwa...or mahakama ya kadhi.
